Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Usishangae wanaccm ndivyo walivyo wanaendeshwa kama kokoteni.Hahahaaa ... Kwa hiyo wewe unaamini Mbowe ni Gaidi?🤣🤣.. yaani humi ndani ya dhamiri yako siriniiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae wanaccm ndivyo walivyo wanaendeshwa kama kokoteni.Hahahaaa ... Kwa hiyo wewe unaamini Mbowe ni Gaidi?🤣🤣.. yaani humi ndani ya dhamiri yako siriniiii
Kwani wewe Ugaidi unautafsiri VP? Tuanzie hapo.Kama hauamini Mbowe ni gaidi basi kajaribu kugombea uenyekiti wa Chadema.