Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Aug 19, 2021 #21 potokaz said: Hahahaaa ... Kwa hiyo wewe unaamini Mbowe ni Gaidi?🤣🤣.. yaani humi ndani ya dhamiri yako siriniiii Click to expand... Usishangae wanaccm ndivyo walivyo wanaendeshwa kama kokoteni.
potokaz said: Hahahaaa ... Kwa hiyo wewe unaamini Mbowe ni Gaidi?🤣🤣.. yaani humi ndani ya dhamiri yako siriniiii Click to expand... Usishangae wanaccm ndivyo walivyo wanaendeshwa kama kokoteni.
Halaiser JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,230 Reaction score 6,653 Aug 19, 2021 #22 Kinuju said: Kama hauamini Mbowe ni gaidi basi kajaribu kugombea uenyekiti wa Chadema. Click to expand... Kwani wewe Ugaidi unautafsiri VP? Tuanzie hapo.
Kinuju said: Kama hauamini Mbowe ni gaidi basi kajaribu kugombea uenyekiti wa Chadema. Click to expand... Kwani wewe Ugaidi unautafsiri VP? Tuanzie hapo.
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,920 Reaction score 8,675 Aug 19, 2021 #24 Sisiemu bado police wanawabeba sana,,, Yaani ikifika siku polisi hawajaenda sawa na sisiemu,, basi siku hio ndio itakuaa mwisho wa sisiemu
Sisiemu bado police wanawabeba sana,,, Yaani ikifika siku polisi hawajaenda sawa na sisiemu,, basi siku hio ndio itakuaa mwisho wa sisiemu