Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Ni wivu ,hasira na chuki tu ...
Ukiwabana kuelezea hiyo sheria na adhabu kubwa namna hio hawana la kusema ..!
Manara kakiri kosa mwenyewe
Adhabu ni kuanzia mwaka mmoja na pesa ni kuanzia milioni tatu........ kamati imepita sahihi
Swala la kwanini milioni 20 na sio milioni tatu na yatabaki kuwa maoni yako tu
Pengine angefungiwa mwaka na siku moja na pesa milioni tatu wapo pia ambao wange hoji kwanini sio milioni kumi na miaka mitatu?
Haji manara hana adabu kuanzia alipokua simba na hadi sasa
Ndio msemaji anayeongoza kwa kuwa na kesi nyingi za utovu wa nidhamu pale tff