Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Manara anaweza fungiwa miaka 2 kutojihusisha na mpira

Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Manara anaweza fungiwa miaka 2 kutojihusisha na mpira

Msaidie wewe. Mimi sina hela ya kumchangia.
Sasa hili povu lako hadi mishipa inakusimama tatizo nn? Au unakwamaa wapiiii??si utulie kmyaa tyuuh.

Au wee kuhemkwa kwako hapa jamvini kutasaidia nn? Hizi kelele unazotoa hapa zigeuze kuwa ushauri wako kwa Takadini mbna mtafanikiwa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
 
Acha kunifokea bhana! ☹️
 
Manara come on ,tembeza fimbo huyo karia ni mtoto mdogo sana kwako
 
Ukijibizana Na CEO wako Bar, Ethically ni Kosa.

Ukijibizana Na Rais Wa Nchi Hata Kimatani unapotezwa.

Ukijibizana na Mkuu wako wa Shule Mtaani Ethically ni kosa.

Kama Manara Anavyo Ingiza Uyanga Na Usimba Kwenye Hili Suala, Acha Na Rais Naye Aingize uTFF HALAFU Tuone nani Mshindi
 
Ndo kashafungiwa lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom