Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Manara anaweza fungiwa miaka 2 kutojihusisha na mpira

Ni wivu ,hasira na chuki tu ...

Ukiwabana kuelezea hiyo sheria na adhabu kubwa namna hio hawana la kusema ..!

Manara kakiri kosa mwenyewe

Adhabu ni kuanzia mwaka mmoja na pesa ni kuanzia milioni tatu........ kamati imepita sahihi

Swala la kwanini milioni 20 na sio milioni tatu na yatabaki kuwa maoni yako tu

Pengine angefungiwa mwaka na siku moja na pesa milioni tatu wapo pia ambao wange hoji kwanini sio milioni kumi na miaka mitatu?

Haji manara hana adabu kuanzia alipokua simba na hadi sasa
Ndio msemaji anayeongoza kwa kuwa na kesi nyingi za utovu wa nidhamu pale tff
 
Mkuu mbona simpo tu. Kanuni inasema atahukumiwa kifungo si chini y mwaka mmoja. Ina maana ni kuanzia mwaka kwenda mbele. na faini si chini ya milioni 3
 
Mkuu mbona simpo tu. Kanuni inasema atahukumiwa kifungo si chini y mwaka mmoja. Ina maana ni kuanzia mwaka kwenda mbele. na faini si chini ya milioni 1.
All in all, adhabu haiendani na kosa. Angekuwa amefanya uharibifu wa mali kwenye zile ofisi zao pale Karume, ningekubaliana na hiyo adhabu.

Ila kwa kufokeana tu; ndiyo umtoze mtu faini ya milioni 20! Moja kwa moja unaona kabisa kamati imejiongeza ili kumfurahisha bosi wao.
 
Haya sio mayowe najaribu kuwambia ukweli na Dunia yote ijue kuwa Manara bado yupo sanaa
Sasa kama yupo sana una wasiwasi gani mkuu si ungekaa kwa kutulia tu?

Itakuwa sindano imefika kwenye mfupa. Mwambie ajichanganye aone nyundo nyingine itakavyotua kichwani hatasahau maishani mwake.
 
Sasa Kama ni mkubwa kuliko TFF imekuwaje Kamatii iliyo chini ya TFF impe adhabu mtu Alie mkubwa kuizidi?
Mimi mwenyewe nashangaa eti mtu awe mkubwa kuliko TFF iweje apigwe nyundo nzito kiasi hicho.
 
Adhabu inasema “sio chini ya mwaka mmoja”

Kiasi kisichopungua milioni 3

So kamati inacheza kwenda juu itakavyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
inacheza kwenda juu kutokana na kiburi yako
 
Angekuwa yuko Simba usingetia neno. Kumbuka alishawahi kufungiwa miaka mitano enzi za Jamal Malinzi lakini hamkusema neno.
 
Tatizo mmemgeuza Manara mungu mtu wenu, halafu mnashangaza mnamlaumu mungu mtu wa TFF wakati nanyi mna wa kwenu.

Manara ni mropokaji tu, hana lolote; hiyo adhabu ni saizi yake kabisa, kama nawe unaona mambo ni simple jaribu kumtukana Samia au bosi wako hapo kazini kwako halafu uone kitachokupata...
 
Watanyooka tu, unafiki ni adui mkubwa wa mpira wetu
 
Manara ni mtu mdogo sana kwenye klabu ya Yanga! Na kamwe haitatokea siku akafikia hiyo hatua ya umungumtu kama Wallace Karia.

Na kama ni uropokaji, alianzia kwenu! Mimi naongelea adhabu isiyo na uhalisia. Halafu ishu ya kumtukana mtu, inategemea pia na busara za huyo mtu.
 
Tatizo amefokeana na nan?
 
HAYA MATAKATAKA NDIO MAANA LUC EYMAEL ALIAYAITA MAUMBWA.

YANGWA SIPOSI CHILABU MBELE MWIKO NYUMA KUNA MWIKO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa mnooo. Khaaaah
 
Tatizo umejaza hisia, hata ukieleweshwa huwezi kuelewaaa
Sana nikushauri msaidieni kukata rufaa, au msaidieni kulipa faini.

Kwann mtoe kelele? Kanuni na taratibu zipooo. Zifuateni.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
 
Sasa kama yupo sana una wasiwasi gani mkuu si ungekaa kwa kutulia tu?

Itakuwa sindano imefika kwenye mfupa. Mwambie ajichanganye aone nyundo nyingine itakavyotua kichwani hatasahau maishani mwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh.
 
Tatizo amefokeana na nan?
Amefokea na Wallace Karia. Na ifahamike huyo Wallace Karia ukiondoa urais wake wa TFF, bado ni mwanchama wa Coastal Union! Na alishawahi kuwa Kiongozi.
Lakini pia ni shabiki wa simba!

Kwa hiyo kutokea kwa kutokuelewana na Haji Manara ambaye kwa sasa ni mchumia tumbo pale Yanga, kulitakiwa kuchukuliwa kwa uelekeo huo. Kupanda kwa joto, kulichangia bila shaka. Na ikumbukwe Yanga ilishinda kimiujiza tu kwa penati.
 
Msaidie wewe. Mimi sina hela ya kumchangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…