Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Israel Patrick anamzidi chochote David Kameta

Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Israel Patrick anamzidi chochote David Kameta

Mwenda anajua kukaba ila crosses majanga
Anajua wapi wewe.. Huyu hata kuwepo Unyamani ni matumizi mabaya ya usajili..Kikosi kimeteseka sana upande wake.. Almanusura tupigwe la tatu Dogo ameigharibu timu yaani.
 
Israh kwa kiwango chake bado sana hana uwezo wa kuziba mbav ya kulia,hata uwezo wa kupiga cross za maana amna, hana msaada kwenye timu kawachosha wenzake tu
 
sub ya kapombe na mwenzake haiwezi kuzibwa na mchezaji wa ndani, labda atayarishwe kwa kupewa dakika nyingi sana kucheza, na avumiliwe pia..kuna gharama ya muda na uvumilivu hapa.
Simba hawataki kumvumilia Isra, wawe wavumilivu tu.
 
kule kulia kuna shida bora Kapama ajaribiwe mbavu ya kulia Onyango na Mo wamalize, Inonga apande juu kucheza na Kanoute.
Wazo zuri ila sina uhakika kama Kapama anaweza kumwaga maji vizuri & kupandisha mashambilizi, yule ana mentality ya ukabaji tu.
 
Simba wanacheza mpira wa kurudisha nyuma sababu ya uvivu wa mazoezi.
Wanacheza mpira wa kupumzika sana.
Leo KMC ndio waliocheza mpira wa kuchangamka na matokeo ndio hayo.
 
Back
Top Bottom