Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
sub ya kapombe na mwenzake haiwezi kuzibwa na mchezaji wa ndani, labda atayarishwe kwa kupewa dakika nyingi sana kucheza, na avumiliwe pia..kuna gharama ya muda na uvumilivu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Connection hizo kakaUmemuona leo alivyovurunda yaani.. Huyu sijui ilikuwaje akawa Simba SC
Try again hapa atupe jibuUmemuona leo alivyovurunda yaani.. Huyu sijui ilikuwaje akawa Simba SC
hajaachwa katolewa tena kwa mkopo mtibwaEti replacement ya Kapombe.. Yaani hapa tumechemka sana kumuacha Duchu.
comment yangu ya siku nyingi hiyo..NAFUTA KAULIAnajua wapi wewe.. Huyu hata kuwepo Unyamani ni matumizi mabaya ya usajili..Kikosi kimeteseka sana upande wake.. Almanusura tupigwe la tatu Dogo ameigharibu timu yaani.
Simba hawataki kumvumilia Isra, wawe wavumilivu tu.sub ya kapombe na mwenzake haiwezi kuzibwa na mchezaji wa ndani, labda atayarishwe kwa kupewa dakika nyingi sana kucheza, na avumiliwe pia..kuna gharama ya muda na uvumilivu hapa.
Wazo zuri ila sina uhakika kama Kapama anaweza kumwaga maji vizuri & kupandisha mashambilizi, yule ana mentality ya ukabaji tu.kule kulia kuna shida bora Kapama ajaribiwe mbavu ya kulia Onyango na Mo wamalize, Inonga apande juu kucheza na Kanoute.
Back Pass. Hakuna kitu nachukia kama Back Pass, na kukaa na mpira huku watu washafunguakuliko Mwenda ambaye back pass ni nyingi