Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mpemba wako kasèmaje kuhusiana na badiliko hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na huyo jamaa kwanza haelewika anabadilika badilka tu hajulikan anasimamia kitu ganNdugu weka hoja zako zinazopingana na zangu nimeweka mpaka details zangu kuonyesha ni jinsi gani naufatilia mpira! timu zina haki ya kulalamika haijakatazwa ila wanaopanga waamuzi ndiyo wanamamlaka ya kupanga ama kupangua referee tena bila hata sababu CAF wao wapuuzi wamejiwekea mtego wenyewe eti sababu ya kiufundi😡 hapo tutahitaji ufafanuzi zaidi
Nimegundua wewe si shabiki wa simba wala mwanachama wa simba ila ni mnafiki wa simba.
Huzijui figisu walizofanyiwa club africaine? Wale wanatoka taifa ambalo wanacheza mpira usiku kumetulia nyuzi joto ikiwa 7-12 Congo walichezeshwa saa nane jua kali na kapeti unajua linavyochemka
Mtoto wa kinondoni katika uboraSipotezi muda na Watu walioanza Kuujua na Kuufuatilia Mpira wa Miguu pale Jose Mourinho alipoibuka na kuwa Kocha wa Chelsea tafadhali. Huna ubavu wa Kujenga Hoja na Mimi hasa katika Medani hii ya Mpira kwani achilia mbali tu Kuuchambua na Kuujua pia nimeucheza sana tu na pengine isingekuwa Ukali wa Wazazi na kutaka nijikite zaidi katika Masomo na kutopenda Mtoto wao niwe Mchezaji enzi hizo kuna uwezekano GENTAMYCINE ningekuwa nimeshamtangulia Mbwana ' Popa ' Samatta Siku nyingi mno huko Ulaya ( Ng'ambo ) Siku ukipata muda uwe unatembelea Viwanja vya Barafu au Garden uwe unaona ninavyofanya vitu vyangu hasa sehemu ya Kiungo au Beki Mbili na Tatu. Karibu sana!
Si kila jambo unaweza kulizungumzia, mengine yaache yapite. Upande huu nimekuona mtupu kabisa.Mimi ni Simba SC damu ila sijazoea Unafiki, Ujinga na Upumbavu na nitakuwa wa mwisho pia Kuuamini. CAF kubadili Waamuzi wa mchezo Kwangu Mimi si hoja kwamba Simba SC tunahujumiwa na nimeshtushwa pia kumuona Mwanasimba mmoja ambaye pia ni Mbunge na Mwanasiasa nae bila haya / aibu akiingia katika Upuuzi.
Hivi ni mara ngapi hapa hapa katika Ligi Kuu yetu Simba SC huwa tunabadilishiwa Waamuzi? Je Timu pinzani huwa zinatulalamikia kwa TFF? Kama tunadai kuwa hatua hii ya CAF ni ya Kuihujumu Simba SC yetu Sisi Simba SC tulishindwa nini nasi Kuwahujumu vilivyo ile majuzi?
Hivi TP Mazembe ndiyo waliifanya Miguu ya Nahodha Wetu John Boko ilione lango lipo juu akapaisha kule badala ya Kulilenga vyema? Hivi Simba SC nani alitufanya tushindwe kuzitumia zile ' clear chances ' tulizozipata matokea yake Wachezaji wetu wakawa wanarukaruka tu kama Maharage ya Mbeya?
Simba SC msitake kuwafanya Watanzania hasa Mashabiki wetu ( GENTAMCINE nikiwemo ) kwamba ni Wajinga au Wapumbavu au labda wengine hatujawahi Kucheza mpira au hatujui Kuuchambua vile vile. Hivi kuna nani hajui kuwa Simba SC hata kama hao Waamuzi wasingebadilishwa hivi bado Kuwafunga TP Mazembe Kwao Lubumbashi ilikuwa ni ngumu?
Hivi mmejua kuwa kwa Kitendo chenu hiki cha Kulalamikia Mabadiliko haya ya Waamuzi tayari Kiufundi mmeshawaharibu Wachezaji wetu Kisaikolojia? Mimi naamini kuwa kama Simba SC ikijipanga vyema kabisa pamoja na CAF kubadili hao Waamuzi bado tunaweza Kuwafunga TP Mazembe huko huko Kwao.
Uwezo wa Wachezaji wa Simba SC hasa hawa tulionao siyo wa Kushindana na Vilabu vikubwa na hata hii kufikia tu hapa ni Bahati tu ya Mwenyezi Mungu hivyo tusitake kujifanya kama vile Sisi ni Timu bora na ina Mapafu ya Kushindana na hawa Majabali wakubwa wa Kimpira Afrika.
Mkiambiwa kuwa tumieni vizuri Uwanja wenu wa Nyumbani muwe mnaelewa na nadhani mmewaona Mamelodi Sundowns walichowafanya Al Ahly hadi wakawafunga zile Goli Tano kwa Nunge ( 5 - 0 ) wakati Sisi huku Kipaumbele chetu Kikuu kikiwa ni Kuujaza tu Uwanja na kuwa na Tiketi za ' Platinums ' za Kutosha.
Najua wana Simba SC wengi kwa Uzi huu leo mtanichukia GENTAMYCINE ila huwa silei Ujinga na Upumbavu na Unafiki Kwangu ni mwiko bali nitakuwa nanyoosha tu pale ambapo naona panabidi kufanywa hivyo. Ushauri pekee ambao nautoa ni kwamba nawaomba Wachezaji wazawa wa Simba SC kama Mdogo wangu Mkude akina Ndemla, Tshabalaa, Dilunga na Muzamiri wautumie huu mchezo kama sehemu yao ya Kujiuza ili ikiwezekana basi TP Mazembe au Vilabu vingine vikubwa viwamulike na kuwasajili ili Tanzania iongeze idadi ya Wachezaji wake wanaocheza nje.
Ni Mpumbavu tu pekee na asiyejua Mpira vyema ndiyo alikuwa anajua na kujiaminisha kabisa kuwa eti Simba SC ina ubavu / uwezo wa Kumfunga TP Mazembe Kwao ' Machinjioni ' huko Lubumbashi. Twendeni tu tukapokee Magoli yetu ya Kutosha ili yatutie Ndimu / Hasira na tukirudi sasa Hasira zetu zote tuzihamishie katika Mechi zetu za Viporo na zile za muendelezo wa Ligi Kuu ili tulichukue tena hili Kombe kisha Mohammed Dewji na Kamati ya Usajili ya Simba SC bila kusahau benchi la Ufundi likae chini na lifanye Usajili ' Kabambe ' kwa ajili ya Michuano ijayo ya CAF Champions League ambayo GENTAMYCINE naamini kuwa kama Simba SC itashiriki tena na Kusajili ' Majembe ' ya maana basi kwa Msimu ujao tunaweza hata kufika Fainali na kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu hata Kuchukua Kombe.
Tuacheni kutafuta Visingizio vya Kipuuzi vya Kulalamika Waamuzi Kubadilishwa. Na hapa nimewadharau Kidogo Viongozi wangu mtanisamehe sana katika hili. Cha kufanya tu sasa badala ya Kulalamika kubalishiwa hao Waamuzi nadhani tutumie tu muda huu Kuwaandaa na Kuwajenga vyema Kisaikolojia Wachezaji wetu kuwa wakiona Magoli yanaingia mfululizo kwa Golikipa Aishi Manula wasiwe wanashangaa bali wajue tu ya kwamba hao ndiyo TP Mazembe na hapo ni ' Machinjioni ' Lubumbashi.
Nawasilisha.
Wewe ni shabiki wa yanga kwa bahati mbaya sana huujui hata mpira wa mdomoni, fatilia nimeanzia wapi na mleta uzi kisha uje uweke mahojaKwenye dunia ya Leo huwezi kuita hiyo ni figisu,were jiandae kucheza katika mazingira yoyote.nchi zililalamika FIFA world cup QATAR kwani FIFA wamebadili chochote!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua wewe si shabiki wa simba wala mwanachama wa simba ila ni mnafiki wa simba.
Huzijui figisu walizofanyiwa club africaine? Wale wanatoka taifa ambalo wanacheza mpira usiku kumetulia nyuzi joto ikiwa 7-12 Congo walichezeshwa saa nane jua kali na kapeti unajua linavyochemka
Samahani mkuu, umesoma uzi wote na kuuelewa au umekuja tu kubwatuka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulofa wake huko wapi mkuu,
nini alichoandika ambacho no uwongo,
shida yetu tunapenda kuambiwa maneno mazuri tu ya kutufurahisha, hivi kwa haya malalamiko ya viongozi wenu uoni kwamba yanawavunja moyo wachezaji, naungana na mleta Uzi hii tabia ya kupenda kusifiwa tuu hats ambapo hatusitahili ikome.
Mimi ni Simba SC damu ila sijazoea Unafiki, Ujinga na Upumbavu na nitakuwa wa mwisho pia Kuuamini. CAF kubadili Waamuzi wa mchezo Kwangu Mimi si hoja kwamba Simba SC tunahujumiwa na nimeshtushwa pia kumuona Mwanasimba mmoja ambaye pia ni Mbunge na Mwanasiasa nae bila haya / aibu akiingia katika Upuuzi.
Hivi ni mara ngapi hapa hapa katika Ligi Kuu yetu Simba SC huwa tunabadilishiwa Waamuzi? Je Timu pinzani huwa zinatulalamikia kwa TFF? Kama tunadai kuwa hatua hii ya CAF ni ya Kuihujumu Simba SC yetu Sisi Simba SC tulishindwa nini nasi Kuwahujumu vilivyo ile majuzi?
Hivi TP Mazembe ndiyo waliifanya Miguu ya Nahodha Wetu John Boko ilione lango lipo juu akapaisha kule badala ya Kulilenga vyema? Hivi Simba SC nani alitufanya tushindwe kuzitumia zile ' clear chances ' tulizozipata matokea yake Wachezaji wetu wakawa wanarukaruka tu kama Maharage ya Mbeya?
Simba SC msitake kuwafanya Watanzania hasa Mashabiki wetu ( GENTAMCINE nikiwemo ) kwamba ni Wajinga au Wapumbavu au labda wengine hatujawahi Kucheza mpira au hatujui Kuuchambua vile vile. Hivi kuna nani hajui kuwa Simba SC hata kama hao Waamuzi wasingebadilishwa hivi bado Kuwafunga TP Mazembe Kwao Lubumbashi ilikuwa ni ngumu?
Hivi mmejua kuwa kwa Kitendo chenu hiki cha Kulalamikia Mabadiliko haya ya Waamuzi tayari Kiufundi mmeshawaharibu Wachezaji wetu Kisaikolojia? Mimi naamini kuwa kama Simba SC ikijipanga vyema kabisa pamoja na CAF kubadili hao Waamuzi bado tunaweza Kuwafunga TP Mazembe huko huko Kwao.
Uwezo wa Wachezaji wa Simba SC hasa hawa tulionao siyo wa Kushindana na Vilabu vikubwa na hata hii kufikia tu hapa ni Bahati tu ya Mwenyezi Mungu hivyo tusitake kujifanya kama vile Sisi ni Timu bora na ina Mapafu ya Kushindana na hawa Majabali wakubwa wa Kimpira Afrika.
Mkiambiwa kuwa tumieni vizuri Uwanja wenu wa Nyumbani muwe mnaelewa na nadhani mmewaona Mamelodi Sundowns walichowafanya Al Ahly hadi wakawafunga zile Goli Tano kwa Nunge ( 5 - 0 ) wakati Sisi huku Kipaumbele chetu Kikuu kikiwa ni Kuujaza tu Uwanja na kuwa na Tiketi za ' Platinums ' za Kutosha.
Najua wana Simba SC wengi kwa Uzi huu leo mtanichukia GENTAMYCINE ila huwa silei Ujinga na Upumbavu na Unafiki Kwangu ni mwiko bali nitakuwa nanyoosha tu pale ambapo naona panabidi kufanywa hivyo. Ushauri pekee ambao nautoa ni kwamba nawaomba Wachezaji wazawa wa Simba SC kama Mdogo wangu Mkude akina Ndemla, Tshabalaa, Dilunga na Muzamiri wautumie huu mchezo kama sehemu yao ya Kujiuza ili ikiwezekana basi TP Mazembe au Vilabu vingine vikubwa viwamulike na kuwasajili ili Tanzania iongeze idadi ya Wachezaji wake wanaocheza nje.
Ni Mpumbavu tu pekee na asiyejua Mpira vyema ndiyo alikuwa anajua na kujiaminisha kabisa kuwa eti Simba SC ina ubavu / uwezo wa Kumfunga TP Mazembe Kwao ' Machinjioni ' huko Lubumbashi. Twendeni tu tukapokee Magoli yetu ya Kutosha ili yatutie Ndimu / Hasira na tukirudi sasa Hasira zetu zote tuzihamishie katika Mechi zetu za Viporo na zile za muendelezo wa Ligi Kuu ili tulichukue tena hili Kombe kisha Mohammed Dewji na Kamati ya Usajili ya Simba SC bila kusahau benchi la Ufundi likae chini na lifanye Usajili ' Kabambe ' kwa ajili ya Michuano ijayo ya CAF Champions League ambayo GENTAMYCINE naamini kuwa kama Simba SC itashiriki tena na Kusajili ' Majembe ' ya maana basi kwa Msimu ujao tunaweza hata kufika Fainali na kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu hata Kuchukua Kombe.
Tuacheni kutafuta Visingizio vya Kipuuzi vya Kulalamika Waamuzi Kubadilishwa. Na hapa nimewadharau Kidogo Viongozi wangu mtanisamehe sana katika hili. Cha kufanya tu sasa badala ya Kulalamika kubalishiwa hao Waamuzi nadhani tutumie tu muda huu Kuwaandaa na Kuwajenga vyema Kisaikolojia Wachezaji wetu kuwa wakiona Magoli yanaingia mfululizo kwa Golikipa Aishi Manula wasiwe wanashangaa bali wajue tu ya kwamba hao ndiyo TP Mazembe na hapo ni ' Machinjioni ' Lubumbashi.
Nawasilisha.
Acha kujitapa hujui lolote mtu wa Mbande wewe, mimi ni mwanachama wa SSC nafahamu mambo ya SSCKama na Wewe hizo ' Figisu Figisu ' unazijua kwanini hukumchezesha TP Mazembe Saa 11 Alfajiri au Saa 2 asubuhi? Ni Wewe tu Mpuuzi mmoja ndiyo hujajua mpaka leo kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni Mwana Simba Sports Club tena wa Kindakindaki kama siyo Lialia kabisa. Tatizo lenu Watanzania wengi huwa mnapenda Kupakwa Mafuta tu na Kusikia Habari nzuri ambazo zinawapendeza ila akijitokeza Mtu ' Neutral ' kama Mimi na ambaye sina Unafiki wala Mahaba niue ya Kipumbavu nikisema ukweli mnanichukia na kuanza kusema kuwa Mimi ni Yanga FC. Kwa kukusaidia tu ni kwamba naijua Simba Sports Club yako na mambo yake ya ndani kuliko Wewe na nimeshahatarisha Maisha yangu sana kwasababu ya Kuipigania Simba SC yangu na kama haitoshi Wachezaji wako wa Simba SC tena wale ' Waandamizi ' kabisa waliokuwa Team B iliyokuwa huko nyuma chini ya Rafiki yangu mkubwa Nahodha mwenye Mafanikio makubwa Simba SC Suleiman Abdallah Matola a.k.a Mzambia a.k.a Veron na Meneja wa sasa wa Simba SC Patrick Rweymamu wengi Wao Mimi ndiyo Mshauri wao na hupenda Kuniita Kaka Mkubwa. Huyu Haruna Niyonzima unayemuona sasa hivi amerudi katika ' Form ' hivyo nisingejitolea kwa Kushirikiana na Watu baadhi wa ndani wa Simba SC hadi Yule Mkuu wa Itifaki Makoye ( Mvaa Suti ) ili kumsaidia alikuwa ndiyo amemalizwa hivyo. Na sijataka Pesa yoyote ya Asante kutoka Kwake au kwa Simba SC ila nimefanya tu kwa Mapenzi yangu makubwa Kwake. Sasa najipanga tena kutoa aina hiyo hiyo ya Msaada wa Mchezaji wa Kigeni wa Kizambia Clatous Chota Chama ambaye nae pia anaanza Kupotea.
mpira huwa unadunda uwanjani na chochote kinatokea...hao hao tp mazembe last season hatua kama hii walikutana ua timu ya angola..mechi ya kwanza ugenini wakatoa sare bilabila mechi ya pili nyumbani wakatoa sare mojamoja wakatolewa...kwa hiyo waangola wangekuwa na akili kama zako baada ya mechi ya kwanza wangesema wajipange kwa mwakani badala ya kujiandaa vizuri kwa mechi ya pili
Mpemba wako kasèmaje kuhusiana na badiliko hili?
Achana na huyo jamaa kwanza haelewika anabadilika badilka tu hajulikan anasimamia kitu gan
siamini kama Simba wameshatolewa bado wana nafasi kama watakuwa makini na kuweka nidhamu ya mpira natamani Nyoni ndio angekuwa nahodha kwani ni mtulivu na anaiongoza vyema timu uwanjani tatizo ni hawa wanasiasa wanaleta siasa zao kwenye mpira ukichukulia mpira wameujulia ukubwani siasa zao wasituletee kwenye mpira