Nitakuwa wa mwisho Kuuamini huu Upuuzi ambao naona Simba SC yangu wanaanza kutaka Kuutumia kama sababu ya Kushindwa

Nitakuwa wa mwisho Kuuamini huu Upuuzi ambao naona Simba SC yangu wanaanza kutaka Kuutumia kama sababu ya Kushindwa

Wewe ndg hapa juzi ulileta utabiri wako kuwa Mpemba wako kasema ni ngumu sana kwa Simba kushinda hiyo gemu kutokana na mdudu hatari aliyeletwa na Mazembe, leo hii unaanza tena kulaumu kwanini hatukushinda gemu hiyo tukueleweje?

We si ulijinasibu kuwa mganga wako hakosei?
 
Acha kujitapa hujui lolote mtu wa Mbande wewe, mimi ni mwanachama wa SSC nafahamu mambo ya SSC

Mbona kwenye Kuroga na Kufanya Mikafara Timu yetu iwe inashinda huwa sikuoni? Mpuuzi mkubwa Wewe tena wana Simba SC yetu ukituona tunatiririka na kuserereka hapa Jamvini uwe unakaa Kimya ( Unanyamaza ) ili ujifunze na pia uwe unahabarishwa yale ya Simba SC usiyoyajua. Majuzi kati nilikuwa na Ibrahim Ajib ambaye anauguza Jeraha lake la Nyama za Paja pamoja na Swahiba zake Wakubwa Said Ndemla na Jonas Mkude pale Magomeni Morocco katika Duka la Mkewe Beki wa Pembeni ( Namba Tatu ) wa Yanga SC Gadiel Michael na akatupa ukweli wote wa Yeye kuhusishwa na Kuhamia Simba SC yetu. Je unataka nikupe kidogo tu ya alichotuambia pale huku Mkewe Gadiel Michael akitununulia Chips Kuku hasa baada ya Kumtania sana na kumwambia hatuondoki pale hadi atupe Ofa ya Chips Kuku kwakuwa tayari Mumewe alikuwa ameshaweka ' Kibindoni ' Tsh Milioni 10 zile za Taifa Stars? Je unataka nizidi Kukupa Vitu vingine ufaidike Wewe Mpuuzi?
 
Wewe ndg hapa juzi ulileta utabiri wako kuwa Mpemba wako kasema ni ngumu sana kwa Simba kushinda hiyo gemu kutokana na mdudu hatari aliyeletwa na Mazembe, leo hii unaanza tena kulaumu kwanini hatukushinda gemu hiyo tukueleweje?

We si ulijinasibu kuwa mganga wako hakosei?

Shida yako ni nini hasa? Manake huelewi na upo kama vile Mwanamke Kahaba ( Malaya ) anayetafuta Bwana Kinguvu / Kilazima.
 
Mbona kwenye Kuroga na Kufanya Mikafara Timu yetu iwe inashinda huwa sikuoni? Mpuuzi mkubwa Wewe tena wana Simba SC yetu ukituona tunatiririka na kuserereka hapa Jamvini uwe unakaa Kimya ( Unanyamaza ) ili ujifunze na pia uwe unahabarishwa yale ya Simba SC usiyoyajua. Majuzi kati nilikuwa na Ibrahim Ajib ambaye anauguza Jeraha lake la Nyama za Paja pamoja na Swahiba zake Wakubwa Said Ndemla na Jonas Mkude pale Magomeni Morocco katika Duka la Mkewe Beki wa Pembeni ( Namba Tatu ) wa Yanga SC Gadiel Michael na akatupa ukweli wote wa Yeye kuhusishwa na Kuhamia Simba SC yetu. Je unataka nikupe kidogo tu ya alichotuambia pale huku Mkewe Gadiel Michael akitununulia Chips Kuku hasa baada ya Kumtania sana na kumwambia hatuondoki pale hadi atupe Ofa ya Chips Kuku kwakuwa tayari Mumewe alikuwa ameshaweka ' Kibindoni ' Tsh Milioni 10 zile za Taifa Stars? Je unataka nizidi Kukupa Vitu vingine ufaidike Wewe Mpuuzi?
We mpuuzi humu si kila mtu mtoto sana, Unanifahamu vyema? muulize monyama au meneja akujuze
Ajib haitajiki SSC wala hatokaa aje SSC hana nafasi msimbazi watu wa kurasini, mbagala mnajifanya wajuaji sana ninyi upepo mtupu.
 
We mpuuzi humu si kila mtu mtoto sana, Unanifahamu vyema? muulize monyama au meneja akujuze
Ajib haitajiki SSC wala hatokaa aje SSC hana nafasi msimbazi watu wa kurasini, mbagala mnajifanya wajuaji sana ninyi upepo mtupu.

Nenda Kauze zako Mitumba huko Mkuu huna unachokijua na huwezi Kubishana nami hasa kwa Soka la Bongo na hasa hawa Wachezaji wa Simba na Yanga kwakuwa wengi wao ni ' Wanangu ' na kuna wengine wakati nacheza Fabo / Ndiki / Mpira wao walikuwa wananitizama na kunibebea Vifaa vyangu. Pimbi mkubwa Wewe!

Sasa ngoja nikupasulie hapa hapa ni kwamba hadi hivi sasa ninavyoandika hivi Ibrahim Ajib bado hajasaini Simba SC isipokuwa Simba SC wamemtengea mezani Kitita chake cha Tsh Milioni 80 na Mshahara wa Tsh Milioni 4 kwa Mwezi. Kwa Kuniheshimu kwakuwa nimeanza Kumjua Ajib tokea akiwa anataabika pale Kwao Ilala Bungoni huku Karibia Kaka zake wote wakiwa ni Mateja watupu kasoro Yeye tu huku akinichukulia kama Kaka aliniomba Ushauri wa kama aje Simba SC yetu au abakie tu Yanga SC huko aliko sasa?

Ushauri niliompa tena mbele ya Ndemla, Mkude na Tshabalala ( ambao ndiyo Marafiki wakubwa wa Ibrahima Ajib ) ukiachilia Yule Rafiki yake wa Utotoni na waliocheza Mpira wote Salum Raka au SaluRaka ( sasa amezamia nchini Ujerumani ) ila Kaka yake anayeanzia na Jina la Herufi ' H ' ni Mtumishi wa TRA pale Mapato House nilimwambia ya kwamba kama akisaini Simba SC basi aombe kuwe na Kipengele cha kwamba muda wowote akipata Timu nje basi aondoke ila nilimsihi mno kuwa kwa aina yake ya Uchezaji kwa Simba SC hii hii ya Uchebe Kocha Patrick Aussems kupata Namba itakuwa ngumu hivyo kama Yanga wata ' top up ' basi aendelee tu kubaki huko Yanga ambapo pia ana nafasi kubwa ya Kucheza kuliko kama akija Simba SC.

Hata hivyo mwenye Maamuzi ya mwisho ni Yeye japo kuna kila dalili anaweza kuja Simba SC ili awe karibu sana na hao ' Maswahiba ' wake Tajwa hapo juu akina Ndemla, Mkude na Tshabalala. Haya njoo tena na Hoja yako nyingine ili nizidi Kukuonyesha kuwa Mimi siyo Muuza Mitumba mwenzio kwani Wauza Mitumba wengi ndiyo mnakuwaga wabishi wabishi na wenye Umbwigira / Ushamba mwingi sana tu.

Mpuuzi mkubwa Wewe! Huyu ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Kazi Kwako!
 
Oya Huyo jamaa ni mwezi mchanga achana nae

Mwezi Mchanga lakini kila Siku ukiingia tu JamiiForums ni lazima tu utahakikisha unapitia ' Threads ' na ' Posts ' zake zote. Sasa hapa kati yangu na Wewe ndiyo anaugua Ugonjwa mbaya wa Akili? Sijui kwanini Mwenyezi Mungu alinifanya GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niwe hivi " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " huku akikuacha Wewe na huo ' Upumbavu ' wako unaokusumbua hadi hivi sasa.
 
Kwenye dunia ya Leo huwezi kuita hiyo ni figisu,were jiandae kucheza katika mazingira yoyote.nchi zililalamika FIFA world cup QATAR kwani FIFA wamebadili chochote!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fifa wamebadili mambo mengi ikiwamo wakati ambao world cup itachezwa,haitakuwa miezi ile world cup inachezwaga,pia Qatar wameahidi kuweka air condition hadi mitaani barabarani,hili LA AC kitaa tayari linafanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Mimi ni Simba SC damu ila sijazoea Unafiki, Ujinga na Upumbavu na nitakuwa wa mwisho pia Kuuamini. CAF kubadili Waamuzi wa mchezo Kwangu Mimi si hoja kwamba Simba SC tunahujumiwa na nimeshtushwa pia kumuona Mwanasimba mmoja ambaye pia ni Mbunge na Mwanasiasa nae bila haya / aibu akiingia katika Upuuzi.

Hivi ni mara ngapi hapa hapa katika Ligi Kuu yetu Simba SC huwa tunabadilishiwa Waamuzi? Je Timu pinzani huwa zinatulalamikia kwa TFF? Kama tunadai kuwa hatua hii ya CAF ni ya Kuihujumu Simba SC yetu Sisi Simba SC tulishindwa nini nasi Kuwahujumu vilivyo ile majuzi?

Hivi TP Mazembe ndiyo waliifanya Miguu ya Nahodha Wetu John Boko ilione lango lipo juu akapaisha kule badala ya Kulilenga vyema? Hivi Simba SC nani alitufanya tushindwe kuzitumia zile ' clear chances ' tulizozipata matokea yake Wachezaji wetu wakawa wanarukaruka tu kama Maharage ya Mbeya?

Simba SC msitake kuwafanya Watanzania hasa Mashabiki wetu ( GENTAMCINE nikiwemo ) kwamba ni Wajinga au Wapumbavu au labda wengine hatujawahi Kucheza mpira au hatujui Kuuchambua vile vile. Hivi kuna nani hajui kuwa Simba SC hata kama hao Waamuzi wasingebadilishwa hivi bado Kuwafunga TP Mazembe Kwao Lubumbashi ilikuwa ni ngumu?

Hivi mmejua kuwa kwa Kitendo chenu hiki cha Kulalamikia Mabadiliko haya ya Waamuzi tayari Kiufundi mmeshawaharibu Wachezaji wetu Kisaikolojia? Mimi naamini kuwa kama Simba SC ikijipanga vyema kabisa pamoja na CAF kubadili hao Waamuzi bado tunaweza Kuwafunga TP Mazembe huko huko Kwao.

Uwezo wa Wachezaji wa Simba SC hasa hawa tulionao siyo wa Kushindana na Vilabu vikubwa na hata hii kufikia tu hapa ni Bahati tu ya Mwenyezi Mungu hivyo tusitake kujifanya kama vile Sisi ni Timu bora na ina Mapafu ya Kushindana na hawa Majabali wakubwa wa Kimpira Afrika.

Mkiambiwa kuwa tumieni vizuri Uwanja wenu wa Nyumbani muwe mnaelewa na nadhani mmewaona Mamelodi Sundowns walichowafanya Al Ahly hadi wakawafunga zile Goli Tano kwa Nunge ( 5 - 0 ) wakati Sisi huku Kipaumbele chetu Kikuu kikiwa ni Kuujaza tu Uwanja na kuwa na Tiketi za ' Platinums ' za Kutosha.

Najua wana Simba SC wengi kwa Uzi huu leo mtanichukia GENTAMYCINE ila huwa silei Ujinga na Upumbavu na Unafiki Kwangu ni mwiko bali nitakuwa nanyoosha tu pale ambapo naona panabidi kufanywa hivyo. Ushauri pekee ambao nautoa ni kwamba nawaomba Wachezaji wazawa wa Simba SC kama Mdogo wangu Mkude akina Ndemla, Tshabalaa, Dilunga na Muzamiri wautumie huu mchezo kama sehemu yao ya Kujiuza ili ikiwezekana basi TP Mazembe au Vilabu vingine vikubwa viwamulike na kuwasajili ili Tanzania iongeze idadi ya Wachezaji wake wanaocheza nje.

Ni Mpumbavu tu pekee na asiyejua Mpira vyema ndiyo alikuwa anajua na kujiaminisha kabisa kuwa eti Simba SC ina ubavu / uwezo wa Kumfunga TP Mazembe Kwao ' Machinjioni ' huko Lubumbashi. Twendeni tu tukapokee Magoli yetu ya Kutosha ili yatutie Ndimu / Hasira na tukirudi sasa Hasira zetu zote tuzihamishie katika Mechi zetu za Viporo na zile za muendelezo wa Ligi Kuu ili tulichukue tena hili Kombe kisha Mohammed Dewji na Kamati ya Usajili ya Simba SC bila kusahau benchi la Ufundi likae chini na lifanye Usajili ' Kabambe ' kwa ajili ya Michuano ijayo ya CAF Champions League ambayo GENTAMYCINE naamini kuwa kama Simba SC itashiriki tena na Kusajili ' Majembe ' ya maana basi kwa Msimu ujao tunaweza hata kufika Fainali na kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu hata Kuchukua Kombe.

Tuacheni kutafuta Visingizio vya Kipuuzi vya Kulalamika Waamuzi Kubadilishwa. Na hapa nimewadharau Kidogo Viongozi wangu mtanisamehe sana katika hili. Cha kufanya tu sasa badala ya Kulalamika kubalishiwa hao Waamuzi nadhani tutumie tu muda huu Kuwaandaa na Kuwajenga vyema Kisaikolojia Wachezaji wetu kuwa wakiona Magoli yanaingia mfululizo kwa Golikipa Aishi Manula wasiwe wanashangaa bali wajue tu ya kwamba hao ndiyo TP Mazembe na hapo ni ' Machinjioni ' Lubumbashi.

Nawasilisha.
ndugu yangu umechambua vizuri sana ila ule ndiyo ulikuwa uwezo wao wa mwisho kupambana.gari ya tani 7 haiwezi kubeba tani10. Kundi la simba lilikuwa jepesi kuliko makundi yote. Umeona jinsi al ahly mshindi wa kwanza alivyofanywa na mamelodi ingawa tangu mwanzo kwenye maoni yangu ya nyuma niliwapa mamelodi nafasi ya kuchukua tena ubingwa.
 
Matokeo ya michezo mfano mpira huweza kujilikana mapema kabla ya mchezo husika!Kinajimu siku tarehe na muda wa Simba/Mazembe haukuwa wa Simba ndo maana pamoja na Rabsha zote Simba hawakufanikiwa kupata GOLI/MAGOLI,Usindi wa SIMBA ulikuwa ni draw.NA KINAJIMU MAZEMBE VS SIMBA in Lubumbashi imekaa vibaya mno kwa MAZEMBE kuliko mechi ya DAR,Kuna uwezakano mkubwa wa SIMBA kupata matokeo mazuri na huenda Mazembe wameshaliona ndo maana wameanza FIGISU za nje uwanja na hata hizo huwa hazisaidii sana coz haziwezi shindana na NGUVU YA ASILI(UNAJIMU).I attach the charts for SIMBA/MAZEMBE and MAZEMBE VS SIMBA in LUBUMBASHI.
Screenshot_20190407-115139.png
Screenshot_20190406-010236.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom