Nitakuwa wa mwisho Kuuamini huu Upuuzi ambao naona Simba SC yangu wanaanza kutaka Kuutumia kama sababu ya Kushindwa

Nitakuwa wa mwisho Kuuamini huu Upuuzi ambao naona Simba SC yangu wanaanza kutaka Kuutumia kama sababu ya Kushindwa

Mchawi akirogwa ulia Sana hawajui wao wenyewe ndiyo mabingwa wa michezo michafu
 
Mimi napingana na mleta mada. Ushauri wangu. Nibora ukae kimya ili kuweka akiba ya maneno. Tuanze kuongea baada ya mechi ya juma mosi. Mimi naomba niweke nukta ntarudi juma mosi baada ya mechi.
Vipi ulisharudi au bado umetokomea?
 
Back
Top Bottom