Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu kwema?
Kama mnavyojua kipindi Hiki ni kipindi Cha mfumuko wa hatari duniani more kutokana na changamoto mbalimbali za kidunia
Sasa tulioweka akina zetu Benki thamani yake zinaporomoka huku tukiona
Mimi binafsi akina yangu niliweka kwenye fedha za kigeni, dollar nikitumaini nitakuwa salama
Lakini Hali ni mbaya kote dola nayo haipandi kivile dhidi ya Shilingi ukilinganisha na Kasi ya mfumuko
Sasa Kuna njia rahisi isiyokuwa na riski ya kulinda savings dhidi ya mfumuko?
Njia ambayo ukitaka kuzibadili kuwa cash haikuletei tabu
Nilikuwa nawaza kuingia. Kwenye forex ninunue gold au oil huko maana naona ndio zinapanda kila kukicha Ila Sina uhakika, nisije nikachezea na huko, unanunua unashangaa ndio zinaanza kushuka