Zanzibar 2020 Nitamchagua Dkt. Mwinyi si Maalim Seif

Wazanzbar tumechoka kutawaliwa mutuache, zanzbar ni nchi huru, hatutaaki muumgano , tutamchagua seif ili atufikieshe tunapotaka na la mwanzo kabisa ni kuvunja muungano na kujua hatma ya masheikh zetu wa uhamisho munaowashikiria kidhulma
 
Sasa we mkazi wa kibamba ukamchague aliyekua mbunge wa bara mkuranga kule zanzibar sasa utapiga ukiwa dar kura yko ikaesabie kule au utavuka maji
 
wewe kijana kama huvuti bangi basi unabugiya cocaine ama ni taahira ebu nipe jambo moja tu ambalo CCM wamefanya laamana kwa kipindi hichi cha miaka 60
 
Mnachekesha sana, mshaanza kuvushwa kwani tayari? naona mapema ata kampeni bado hazijafika tayari mmeshavushwa 😀

Wazanzibari wanamtaka Sultan Maalim Seif Sharif ili aiuze Zanzibar kwa Dubai, Oman, Qatar, Saudi Arabia. Hawamtaki Mwinyi ambae ataiuza kwa Mkoloni mweusi, wametawaliwa na mkoloni mweusi kwa miaka mingi sana, sasa wazanzibar wanataka kumrudisha Jamshid kupitia Sultan Maalim Seif Shariff Hamad. Wewe kinachokuuma nini kwani? Tukutafutie mtumbwi urudi kwenu?

Wanamtibu buree Dubai Sultan Maalim Seif Sharif Hamad, huyu Mtumwa Hussein Mwinyi yeye anatibiwa na nani bure? au hakuna alokuwa na hamu naye? hana ata maswahiba kumbe nje ya mipaka ya Tanzania wakamtibu bure anapoumwa? Au mtumwa akiumwa ndio atatibiwa bure na master wake? 😀 😀 😀
 
Dah Msuya umeamua kubadili ID baada ya kujistukia zenj hakuna msuya
 
Who the hell are you anywayz??? Kama hata jina lako huwezi kuliandika vizuri basi Maalim hahitaji hiyo kura yako! Tafuta mme tu uolewe may be utakufundisha kua majina ya watu siku zote yanaanza kwa herufi kubwa!
 
Atachaguliwa Maalim Self lakni tume itamtangaza Mwinyi. Ndivyo ilivyotokea tangu 1995.
 

Hebu tupe video yake japo moja tu aloitetea Zanzíbar kabla ya kuteuliwa kugombea uraisi, Zanzíbar raisi wa Kizenji hasa ni wachache tu !! Sio jambo geni hili akipita yeye hata baba yake sio mzenji Ila alikuwa raisi kule !!!
 
Maalim Seif atakosa kura yako, atapata ya kwangu.

So, hakuna alichopoteza
Rose ni mpotoshaji tu huyu hata Zanzibar yenyewe haijui.
Muulize maana ya maneno haya ili tujue kweli anatokea Zanzibar.
*Polo
*Mfereji
*Dagaa tonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…