Ninaomba Wananchi tuwe makini sana tarehe 28.10.2020 wakati wa kupigia kura viongozi wajao ili tusije tukadumbukia kwenye mtego wa kuchagua kwa ushabiki na kuacha wenye sifa na waliokwisha fanya kazi inayoonekana. Kwangu heri shetani ninayemjua kuliko shetani mpya nisiyemjua. Sipigi kampeni hayo ni maoni yangu tu.