GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake anayemlisha Kutwa?
Tutumie muda wetu tunaoupoteza kuwaza Mtoto leo atampiga Baba kwa Kujiuliza kwanini Zengeli anatuumiza sana?
Tutumie muda wetu tunaoupoteza kuwaza Mtoto leo atampiga Baba kwa Kujiuliza kwanini Zengeli anatuumiza sana?