Rayamikhal
Senior Member
- Sep 14, 2026
- 110
- 207
Mabinti wengi wenye Nia ya kupata waume na kutulia kwenye ndoa ni wachache sana hasa kwa namna Kasi ya sayansi na utandawazi inavyokua kilasiku, Mara nyingi mabinti wa nia hii huangukia mikononi mwa wanaume wanaoishia kuwadanganya wengine kwa pesa na wengine kwa ufundi wa kitandani hatimae kuumizwa mioyo yao. Wanaume semeni Jambo juu ya mabinti kama hao Je! watamjua vipi mwanaume mwenye nia thabiti kwenye maisha ya mahusiano yao?