NITAMJUAJE MWANAUME MWENYE NIA YA KUPATA MKE?

Kwanza anakua tayari kupima UKIMWI bila kificho.

Lakini pia anakua na shauku kubwa ya kukutambulisha kwao na kwa ndugu zake, lakini pia na yeye kua tayari kwenda kujitambulisha kwenu.

Zaidi sana anakua hana msisitizo sana katika kunyanduana, licha ya kua anapenda kuambatana nawe muda wote, bali zaidi sana anakua na msisitizo sana wa mawazo na mipango ya maana sana kujenga future ya familia kabla na baada ya ndoa 🐒

Kiukweli wanaume waliowengi wanakimbia Mara baada ya kuombwa kupima HIV/Aids
 
Mimi nafikir nowdays watu wanaishi HOOKS,HEAT AND RUN,PROMISQUITY kawa sababu hata hao mafundi wa kitandani wanaowadanganya wanawake ni watu ambao wameteseka na mapenzi kwa sababu ya huohuo ufundi(walibwagwa) so,my take ni kwamb mke au mume bora ni gift from the lord...ladies by gentlemen wamesahau sana ibada kipindi hiki cha globalization..so wanawake hao wafanye sana ibada. And hayo yote yanayotokea kwa wanawake na wanaume hao ni matokeo ya kumsahau mungu.....ahsanteni
 
Pia, kufanya tendo ni mpaka ndoa. Hiyo ndio dawa ya mwanaume
 
Back
Top Bottom