NITAMJUAJE MWANAUME MWENYE NIA YA KUPATA MKE?

Rayamikhal

Senior Member
Joined
Sep 14, 2026
Posts
110
Reaction score
207
Mabinti wengi wenye Nia ya kupata waume na kutulia kwenye ndoa ni wachache sana hasa kwa namna Kasi ya sayansi na utandawazi inavyokua kilasiku, Mara nyingi mabinti wa nia hii huangukia mikononi mwa wanaume wanaoishia kuwadanganya wengine kwa pesa na wengine kwa ufundi wa kitandani hatimae kuumizwa mioyo yao. Wanaume semeni Jambo juu ya mabinti kama hao Je! watamjua vipi mwanaume mwenye nia thabiti kwenye maisha ya mahusiano yao?
 
Huwezi kujua kuolewa ni bahati tuu ,tumia uhuru wako vizuri wako wanaume wanatoa hadi mahari ili wakukule wapite kushoto ,ni kwa neema tuu.
 
Kila mwanamke anaweza kuwa na matazamio tofauti juu ya aina ya mwanaume anayemtaka.

Kwenye maelezo yako umesema "wengi wanahishia kwenye mikono ya wadanganyifu..." Vice versa yake inaweza kuwa kianzio.

Nadhani, wanawake wanaweza kusaidia zaidi kuainisha vigezo vyao. Then utafanya conclusion
 
Kwanza anakua tayari kupima UKIMWI bila kificho.

Lakini pia anakua na shauku kubwa ya kukutambulisha kwao na kwa ndugu zake, lakini pia na yeye kua tayari kwenda kujitambulisha kwenu.

Zaidi sana anakua hana msisitizo sana katika kunyanduana, licha ya kua anapenda kuambatana nawe muda wote, bali zaidi sana anakua na msisitizo sana wa mawazo na mipango ya maana sana kujenga future ya familia kabla na baada ya ndoa πŸ’
 
🀩
 
yaani omba kwa Mungu sana.............usichezee kiumbe mwanaume akitaka jambo lake.......na usilazimishe ndoa kabisa.........ohooo,,,,, watu wanatoa mahari kabisa.....wanakula mzigo na wanasepa.....na yupo pale pale mlipokutana....na huna cha kumfanya......hakuna fomula kabisa......jipende tuu.....pendeza bibie......ongea kwa upendo.....jitunze.....utamnasa wa kweli.....mhalifu wako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…