Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

RAKI BIG ahsante kwa maelezo mazuri na yanaweza kuwasaidia wengi.

Lakini kwa maelezo ya Chakorii tatizo lake sio mtoto wa jicho anasema shida imeanza baada ya kugongwa, sio mtaalam ila huenda hicho ikawa chanzo cha mtoto wa jicho?

Nashauri atafute hospitali ya macho lakini pia iangaliwe hiyo kugongwa kama imeathiri sehem za ndani za kichwa zinazosababisha hayo maumivu.

Likija suala la afya, upatikanaji wa huduma hauzingatii ipo sehem gani. Ningeshauri uwatembelee International Eye Hospital wako mbele ya Moroco, Victoria nafikiri upande wa kushoto ukielekea Makumbusho.
 
RAKI BIG ahsante kwa maelezo mazuri na yanaweza kuwasaidia wengi.

Lakini kwa maelezo ya Chakorii tatizo lake sio mtoto wa jicho anasema shida imeanza baada ya kugongwa, sio mtaalam ila huenda hicho ikawa chanzo cha mtoto wa jicho?...
Asante sana mkuu Mungu akubariki .nitakwenda huko.ubarikiwe👏
 
Naomba kufahamu hospitali nzuri ya macho hapa Dar.

Pia aina ya malipo kama wanatumia Bima ama ni cash peke yake.

Ahsante.
 
Ubarikiwe pia, kikubwa zaidi nakutakia uponyaji kwa shida inayokukabili. Pole sana.
Mkuu asante sana uzidi kubarikiwa.nilienda INTERNATIONAL EYE HOSPITAL nikapata huduma nzuri sana..lkini nikagundulika ninatatizo kubwa zaidi ya nilivyodhan..

Nimepatiwa dawa bado naendelea kutumia baada ya mwezi nitarudi tena.shukrana sana mkuu
 
Mkuu asante sana uzidi kubarikiwa.nilienda INTERNATIONAL EYE HOSPITAL nikapata huduma nzuri sana..lkini nikagundulika ninatatizo kubwa zaidi ya nilivyodhan..

Nimepatiwa dawa bado naendelea kutumia baada ya mwezi nitarudi tena.shukrana sana mkuu

Amen, nakuombea uponyaji upesi. Barikiwa pia
 
Ni hosp ya macho only au mnatoa na huduma gani zingine?je kwa maswala ya uzazi je?na gharama zipoje?
 
bure garama, kwa dar es salaam hospitali nzuri za macho zipo Msasani, Morocco na Victoria wasikudanganye hao wa bure, bure gharama
 
Nilikuwa ninatatizo la macho nikaenda hospital mbili tofauti lakni hakuna cha maana.

Wanaishia kunipa dawa za maji tu shenzi zao kumbe nilikuwa ninatatizo kubwa ambapo ningechelewa kulitibu basi ingeniletea kutokuona.

Kama uko vizuri nenda hiyo hospital hutojuta
 
Inapatikana victoria ukishavuka jengo la Vodacom mbele kidogo utaiona kama unatokea moroco ni upande wa kushoto

Namba zao 0787888130.kila la heri na ugua pole.Afya nikitu cha muhimu mno
 
Wakuu poleni sana na majukumu.

Wakuuu ndugu yenu nasumbuliwa na jicho nimeenda kupata tiba Bugando walinianbia jicho linakidonda walinipa tiba yapata wiki nne sasa lakini nashukuru maumivu yamepungua kuliko mwanzo.

Naombeni wapendwa mnitajie hospital yenye tiba nzuri na mabingwa wa macho hapa Tanzania ili nipate tiba nzuri

Natanguliza shukrani.

Natangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…