Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

CCBRT wako vizuri sana ndg usipime kwa matatizo ya macho nadhani kuliko hospital yoyote hapa Tanzania
 
Habari wakuu, naombeni kujua hospitali nzuri ya macho kwa hapa dar na gharama zake kwani siwezi kuona mbali na kusoma siwezi . Usafiri went ni mhimu nisijekuza tatizo maana hospital nzuri ni chache sana
Njoo mvumi _DODOMA.
 
Back
Top Bottom