Marathon day JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 643 Reaction score 1,016 May 14, 2021 #61 CCBRT wako vizuri sana ndg usipime kwa matatizo ya macho nadhani kuliko hospital yoyote hapa Tanzania
CCBRT wako vizuri sana ndg usipime kwa matatizo ya macho nadhani kuliko hospital yoyote hapa Tanzania
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 3,477 Reaction score 7,085 May 14, 2021 #62 kantriboi said: Habari wakuu, naombeni kujua hospitali nzuri ya macho kwa hapa dar na gharama zake kwani siwezi kuona mbali na kusoma siwezi . Usafiri went ni mhimu nisijekuza tatizo maana hospital nzuri ni chache sana Click to expand... Njoo mvumi _DODOMA.
kantriboi said: Habari wakuu, naombeni kujua hospitali nzuri ya macho kwa hapa dar na gharama zake kwani siwezi kuona mbali na kusoma siwezi . Usafiri went ni mhimu nisijekuza tatizo maana hospital nzuri ni chache sana Click to expand... Njoo mvumi _DODOMA.