Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?


Sasa hapa huoni kama unaungana kwa namna nyingine na mawazo ya dada yako hivyo umeweza kinyume naulivyoaminini kuwa huwezi...........nikutakie kila kheri!
 
Ningekushauri utafute mwenzi wako kwa kigezo cha upendo na uaminifu na si kwa vigezo ulivyovitoa.

Kwani nina uhakika unaweza kumpata mwenye vigezo kama ulivyovitaja lakini akawa hana upendo wa dhati.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…