econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Dec 21, 2024 #1 Baada ya Mh Mbowe kutangaza rasmi kuwa atagombea Uenyekiti wa chama, naahidi kumpigia kampeni Lissu mpaka ashinde. Na nikiona anafanyiwa figisu nitamshauri ajitoe awe mwanachama wa kawaida.
Baada ya Mh Mbowe kutangaza rasmi kuwa atagombea Uenyekiti wa chama, naahidi kumpigia kampeni Lissu mpaka ashinde. Na nikiona anafanyiwa figisu nitamshauri ajitoe awe mwanachama wa kawaida.
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Dec 21, 2024 #2 Pambana Kamanda.. TL awe makini ... Labda ahamie ACT aingie bungeni.. ila mbele yake peusi sana.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 22, 2024 #3 Kila la kheri... Cc: Mahondaw