Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Viongozi wote wa CCM tuna ma vieite[emoji28],unaijua viete wewe?? Ndio tunatemebelea sisi zile..Katibu tawala anatembelea Land Cruiser hardtop 1HZ yenye Full AC!..

Wanataka kujifananisha na sisi?~ Amfredi Konokono
Mh Lema aliwahi kuwaambia "imarisheni mifumo na sio mtu". Huyu Magufuli sio Mungu, kuna siku hatakuwepo halafu mtakuja kulia lia hovyo kama vifaranga vilivyopotelewa na mama yao. Sasa ndio kina Polepole.
 
Hahahahah mifumo sindio hio imeuawa mzee! Tarura by cash, Tanesco nayo walitaka kuichezea watu wakaropoka sana wakakausha. Sahizi usishangae hii GePG nayo ikafa au waka hack mchongo hela ilawa inavuja mahali kabla ya kuingia hazina😅

Tanzania hata ije katiba mpya wahuni wataendelea kufanya yao na kulindana tu😅 sababu ni mchezo wameuzoea!

Kuua chain ndio njia pekee. Katiba ianishe kabisa watoto wa viongozi wastaafu hamna kushika senior positions waishie kwenye level za ukuu wa Idara tu huko incase wataingia serikalini moja kwa moja.

Yani aidha uraisi, ukurugenzi,uwaziri,ded,rc ama position yeyote ambayo wanakuwa final say wasiruhusiwe kufika kuwe na ukomo! Kama watafanya kwenye kampuni binafsi ni sawa hata wakiwa ma CEO!

Hii ndio itasaidia kuleta sura mpya kwenye system ya nchi. Sio baba kwa vile alikuwa raisi anafosi mazingira na mwanae awe raisi. Miaka nenda rudi itakuwa raisi Ally Hassan Mwinyi, Mtoto nae raisi Hussien Hassan Mwinyi, Mjukuu nae raisi Hassan Hussein Mwinyi! Style inakwenda kama vile nchi ya kifalme!
 
Kitu nilichokiona kwa huyu be polepole anaongea utadhani kachanganyikiwa lkn yeye anajua watz ni wajinga kiwango kikubwa mno kiasi kwamba hawawezi tambua madudu waliyofanya.mpk nashangaa huyu polepole zime
mruka au akili yàke inaishia hapo
Yeye anajiona anaongea pointi sana.😅😅😅
 
Nimekudharau unaposema hata ije katiba mpya haitasaidia. Katiba Mpya inaondoa wahuni. Kama Mahakama iko imara, polisi wako imara na Takukuru iko imara, tume ya uchaguzi imara hakuna atakayeleta uhuni. Uhuni unaendelea kwa sababu ya kulindana.
 
Polepole ni mmoja kti ya hao wahuni
 
Hujamuweka Mhuni (Hooligan) na Jambazi Sabaya kwenye hii list yako ya Wahuni, Uzi wako umepingua Sana Nguvu.
Imagine Mhuni Kama Bashite hujam List, Mhuni Chalamila, Mhuni Kihongosi , Mhuni Jerry Muronetc
 
Mbona wengine niwageni masikioni kwangu wajameni?
 
kama kuna mtu anatakiwa kurushiwa jiwe, polepole anatakiwa kuwa wa kwanza. na yeye mwenyewe anaelewa hilo akiwa na bashiru.
 
Nimekudharau unaposema hata ije katiba mpya haitasaidia. Katiba Mpya inaondoa wahuni. Kama Mahakama iko imara, polisi wako imara na Takukuru iko imara, tume ya uchaguzi imara hakuna atakayeleta uhuni. Uhuni unaendelea kwa sababu ya kulindana.
Hapo umemaliza Mkuu. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…