Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Nimekudharau unaposema hata ije katiba mpya haitasaidia. Katiba Mpya inaondoa wahuni. Kama Mahakama iko imara, polisi wako imara na Takukuru iko imara, tume ya uchaguzi imara hakuna atakayeleta uhuni. Uhuni unaendelea kwa sababu ya kulindana.
Trust me katiba ni hatua moja ila bila kuweka sheria ya watu waliowahi kuhudumu wakashutumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi kuhamishiwa vitengo tu na kubana tabia ya kuwekana watoto wa viongozi wastaafu kwenye nafasi nyeti! Ujinga utaendelea tu!

Katiba haiwezi fwatwa kama mwanangu ni waziri kwenye utawala wako na mie na wewe ni washkaji! Wewe una nafasi ya kumuwajibisha ila instead utamhamisha wizara tu kulinda mkate wake. Sababu wakati wa utawala wangu nilikupa wewe umakamu wa raisi!

Chain ya namna hii isipovunjwa hata hio katiba itoke mbinguni ushenzi utaendelea kuwepo tu!
 
Nimekudharau unaposema hata ije katiba mpya haitasaidia. Katiba Mpya inaondoa wahuni. Kama Mahakama iko imara, polisi wako imara na Takukuru iko imara, tume ya uchaguzi imara hakuna atakayeleta uhuni. Uhuni unaendelea kwa sababu ya kulindana.
Ni sawa kunidharau ila hebu tuliza akili utaiona logic yangu😅!

Katiba tutapewa ila familia za elites zikiruhusiwa kuendelea kupeana madaraka kwa fadhila haitakaa itusaidie!
 
Hivi Dkt.Msukuma sio muhuni kweli? 😳 😳
 
Hv huyu polepole ni kijana, Mzee au mtu wa makamo mbona haeleweki yupo rika gani
 
Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.

Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm.
Haa, umenikumbusha wale wahuni waliokuwa wamebeba mabegi yaliyo jaa kwenye vituo vya kupigia kura 2020, Swali fikirikishi hawo wahuni waliowatuma ni wakina nani
 
Haa, umenikumbusha wale wahuni waliokuwa wamebeba mabegi yaliyo jaa kwenye vituo vya kupigia kura 2020, Swali fikirikishi hawo wahuni waliowatuma ni wakina nani
😅😅😅😅polepole anataka kusema kuna wahuni wanaozidi wale.
 
Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.

Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa ccm.
Wahuni wengine wanaondelea kuua nchi HII ni hawa hapa
1638866994952.png
1638867185358.png
 
Back
Top Bottom