Nitamsemea na kumtetea Rais Samia hadi dakika ya mwisho kutokana na kazi ya kitume anayoifanya

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anafanya kazi ya Kitume ,Ni sahihi Ukisema katumwa na Mungu kuwaongoza Watanzania, ni Sahihi ukisema Kaja Kutenda yale yaliyokusudiwa na Mungu kwaTaifa letu.

Hana wa Kufanana naye wala kufananishwa naye kiuongozi. Hana wa kulinganishwa naye wala kupimwa naye katika Mizani ya Uongozi. Ni kiongozi wa aina yake ,ni kiongozi wa kipekee,ni kiongozi Mwenye anga lake.

Ni Rais Ambaye Nitamsemea na kumtetea Hadi Dakika ya Mwisho . Nitasimama na Rais Samia hata Dunia nzima iwe kinyume naye , nitakuwa upande wake hata Ulimwengu uwe kando Naye .

Hii ni kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya Muda Mfupi wa uongozi wake. Anamaliza Muhula wake 2030 Lakini hadi sasa unaweza kusema kafanya mengi ambayo yalitakiwa yakamilike mwaka huo.

Ni kama unaweza kusema Rais Samia hana Deni kwa Watanzania. Vitu alivyotakiwa kufanya na kutekeleza katika ngazi yake ya Urais vingi amemaliza na kukamilisha .

Hivyo vingine vidogo vidogo atavimaliza muda mfupi ujao na hivyo vingine vidogo vidogo vitamalizwa na kutekelezwa katika ngazi za mikoa na halmashauri kutokana na Mapesa Mengi Kushushwa na kupelekwa huko na Mkono wa Rais Wetu Mpendwa.

Ni kipi utasema Rais Samia hajafanya ? Ni kipi utasema hajatekeleza ? Ni kipi utasema hajaanza mchakato Wake? Ni nani atasema hajafikiwa na mkono wa Rais Samia . Nani hajaguswa na Rais Samia katika hali Chanya ? Nani hajainuliwa na kuwekewa ngazi na Rais Samia ?

Rais wetu Mpendwa ni Rais wa Vitendo na siyo Maneno mengi. Kazi yake ni kuyakabili matatizo na siyo kuyakimbia . Amefanya mengi lakini huwezi ukaona akijisifu ama kujitapa. Ameacha vitu alivyofanya vizungumze vyenyewe na sisi watanzania Tuzungumze wenyewe.

Hana Makuu Mama wa Watu, Hana kiburi wala Dharau Rais wetu , Hana Majivuno wala Maneno ya Kuumiza watu. Kila akifungua kinywa chake unaona Taifa likitabasamu na kufurahia. Kila akionekana hadharani ni kama Nyota ya Asubuhi na Jua la Asubuhi liletalo furaha na tabasamu kwa Watu Wote.

Habari njema za Rais Samia unaweza ziandika hapa kutwa nzima na bado usizimalize. Itoshe kusema ya Kuwa niishie tu hapa

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3653779
Kipenzi cha waTanzania wote, Africa na dunia nzima.

We are proud of you Dr.Samia Suluhu Hassan,

we love you as a country and we will be with you up to the end of the world 🤝
 
Acha hizo kufuru, namuomba Jibril akutwae.
 
Kama Rais atakubali kusemewa na mtu mjinga kama wewe hakika aibu inazidi kuwa kubwa Kwa taifa letu
 
Yule mganga wa kigamboni hakusaidii NENDA kolelo utapona mapema Sana vinginevyo utatembea KOTAMA wazi
 
Kipenzi cha waTanzania wote, Africa na duniani nzima.

We are proud of you Dr.Samia Suluhu Hassan,

we love you as a country and we will be with you up to the end of the world 🤝
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kuanza kutukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anafanya kazi ya Kitume ,Ni sahihi Ukisema katumwa na Mungu kuwaongoza Watanzania, ni Sahihi ukisema Kaja Kutenda yale yaliyokusudiwa na Mungu kwaTaifa letu.

Hana wa Kufanana naye wala kufananishwa naye kiuongozi. Hana wa kulinganishwa naye wala kupimwa naye katika Mizani ya Uongozi. Ni kiongozi wa aina yake ,ni kiongozi wa kipekee,ni kiongozi Mwenye anga lake.

Ni Rais Ambaye Nitamsemea na kumtetea Hadi Dakika ya Mwisho . Nitasimama na Rais Samia hata Dunia nzima iwe kinyume naye , nitakuwa upande wake hata Ulimwengu uwe kando Naye .

Hii ni kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya Muda Mfupi wa uongozi wake. Anamaliza Muhula wake 2030 Lakini hadi sasa unaweza kusema kafanya mengi ambayo yalitakiwa yakamilike mwaka huo.

Ni kama unaweza kusema Rais Samia hana Deni kwa Watanzania. Vitu alivyotakiwa kufanya na kutekeleza katika ngazi yake ya Urais vingi amemaliza na kukamilisha .

Hivyo vingine vidogo vidogo atavimaliza muda mfupi ujao na hivyo vingine vidogo vidogo vitamalizwa na kutekelezwa katika ngazi za mikoa na halmashauri kutokana na Mapesa Mengi Kushushwa na kupelekwa huko na Mkono wa Rais Wetu Mpendwa.

Ni kipi utasema Rais Samia hajafanya ? Ni kipi utasema hajatekeleza ? Ni kipi utasema hajaanza mchakato Wake? Ni nani atasema hajafikiwa na mkono wa Rais Samia . Nani hajaguswa na Rais Samia katika hali Chanya ? Nani hajainuliwa na kuwekewa ngazi na Rais Samia ?

Rais wetu Mpendwa ni Rais wa Vitendo na siyo Maneno mengi. Kazi yake ni kuyakabili matatizo na siyo kuyakimbia . Amefanya mengi lakini huwezi ukaona akijisifu ama kujitapa. Ameacha vitu alivyofanya vizungumze vyenyewe na sisi watanzania Tuzungumze wenyewe.

Hana Makuu Mama wa Watu, Hana kiburi wala Dharau Rais wetu , Hana Majivuno wala Maneno ya Kuumiza watu. Kila akifungua kinywa chake unaona Taifa likitabasamu na kufurahia. Kila akionekana hadharani ni kama Nyota ya Asubuhi na Jua la Asubuhi liletalo furaha na tabasamu kwa Watu Wote.

Habari njema za Rais Samia unaweza ziandika hapa kutwa nzima na bado usizimalize. Itoshe kusema ya Kuwa niishie tu hapa

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3653779
Ndege wafanano huruka pamoja. Team Chinjachinja
 
Siku hizi sio kama zamani, umeshaonekana lijinga hujiielewi... ndio maana nyuzi zako hazipati engagement...watu wanapita kama wanaaga maiti...wacha nikupe comment walau ufurahi, maana naufufua uzi uliokufa
 
sasa Dr Samia Suluhu Hassan Hassan anapendwa na waTanzania wote, halafu wao wanakasirika? hii ni maajabu.

hakuna msaada kwenye hilo sasa 🤣
Kama wanataka CHADEMA Wanywe Sumu tu na kufa ili wasiendelee kusikia Kazi njema zilizofanywa na kutekelezwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Siku hizi sio kama zamani, umeshaonekana lijinga hujiielewi... ndio maana nyuzi zako hazipati engagement...watu wanapita kama wanaaga maiti...wacha nikupe comment walau ufurahi, maana naufufua uzi uliokufa
Sipo hapa kufanya mashindano na mtu yeyote yule ndugu yangu Mtanzania
 
Back
Top Bottom