Uchaguzi 2020 Nitamwaga Sukari ziwa Victoria

Yule mama kasema watashinda hata tusipowapigia kura.

Wale ccm msipoteze nguvu kuwapigia ccm. Hawahitaji kura ili kushinda.

Hivyo kuliko kupoteza kwa kuwapigia wao, bora tuwapigie CHADEMA wanao zihitaji kura zetu.
Kuna mbunge mmoja kutoka huko huko alisema hata msiponipigia kura nitapigiwa na mijusi kenge.
 
Naomba kuuliza Kati ya
Antpas m lisu
John p magufuli
Kialfabeti yaani kwakufata herufi tangulizi ipiilitakiwa itangulie?
 
Naomba kuuliza Kati ya
Antpas m lisu
John p magufuli
Kialfabeti yaani kwakufata herufi tangulizi ipiilitakiwa itangulie?
Jina la Chama ndio linawekwa kulingana na Alphabet.
Kilichofannyika mwaka huu ni uoga na aibu kwa CCM
 
Me nafikiri inakupasa ukumbuke kuwa kura yako ni moja, hivyo ningekushauri ujikite katika swala zima la kuhakikisha haiharibiki, maana si kwa akili hizi.
CCM wanajivunia kuiba kura wazi wazi, acha sangara na sato wa Victoria wafaidi a wao
 
Kwenye nafasi ya Mbunge na ya Diwani kama hayupo wa CHADEMA weka V yako kwenye nafasi ya Mgombea yeyote wa Upinzani aliyopo. Waliengua wagombea wetu wa Upinzanl tuwaengue wa kwao hivyo!
 

hahaha wamamweka mwisho wa karatasi hahahaa
 
Mtanzania mwenzangu usijivue utu wako kwa kumpa kura kibaraka wa wazungu.

Kuwa mzalendo chagua JPM.
 

-bado hatujsahau kuchoma ofisi za chama moto na kusingizia serikali
-kutukana baba wa mataifa pamoja na mapolisi kwamba ni majinga
-kufukuza wabunge kisa wameenda kusemea wananchi kipindi kigumu cha corona
- kutoa tamka bado corona ipo ingawa wanafanya kampeni
- kufanya utekaji na kusingizia serikali
- kufukuza wanachama kisa wamesema uozo uliopo kwenye chama ambao hatukua tunajua ikiwemo kuchangisha wanachama na kupiga B8

-kupinga maendeleo na kusema haakuna kilichofanyika
 
Ngoja kwanza, mpangilio wa majina kwenye karatasi umefata nini, alphabet, ...........????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…