phoncechili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 204
- 130
Tuseme ukweli wanawake wengine wanabebwa lakini hawabebeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mbunge mmoja kutoka huko huko alisema hata msiponipigia kura nitapigiwa na mijusi kenge.Yule mama kasema watashinda hata tusipowapigia kura.
Wale ccm msipoteze nguvu kuwapigia ccm. Hawahitaji kura ili kushinda.
Hivyo kuliko kupoteza kwa kuwapigia wao, bora tuwapigie CHADEMA wanao zihitaji kura zetu.
Ngoja wao wapigiwe na mijusi na kenge.Kuna mbunge mmoja kutoka huko huko alisema hata msiponipigia kura nitapigiwa na mijusi kenge.
Naomba kuuliza Kati yaPamoja na kuwa
1. Wamefanya siasa miaka mitano peke yao.
2. Wanajisifia kufanya makubwa kila siku
3. Wamejenga Flyovers.
4. Wamenunua ndege, uwanja wa ndege Chato.
5. Wanatupigia magoti kwenye kampeni.
6. Wanatupa Fiesta bure kila mkutano
Ila bado sijasahau
1. Sakata la vyeti feki, dhuluma
2. Utekaji nyara Roma na wenzake nautekaji mwingine
3. Kupotea kwa Ben Saanane, Azroy Gwanda
4. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
5. Kupigwa risasi kwa Akwilina
6. Kura hela za rambirambi Bukoba kisha kusutwa kuwa hajaleta tetemeko, hapangiwi.
7. Kunyang'anywa korosho kisha kutishia kupiga mashangazi.
8. Dhuluma uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
9. Kutishiwa kuwa tusipochagua CCM hatuletewi umeme wala maji.
10. Kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani.
11. Ubabe wa polisi kila siku.
12. Kufungiwa kufanya kampeni kwa Lissu, Mdee, Maalim Seif, Mayor Jacob na wengine.
13. Kufungiwa kwa magazeti.
Kwa hayo machache tu, halafu wanajitamba wataunda serikali iwe isiwe maana kupiga kura kwingine ni sawa na KUMWAGA SUKARI ZIWA VICTORIA.
Basi hata kama jina la Lissu wataweka mwisho, ukurasa wa 2 au wa 100, nitalifata hukohuko NIKAMWAGE SUKARI ZIWA VICTORIA [emoji41].
Uchaguzi 2020 - Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania
View attachment 1602148
Jina la Chama ndio linawekwa kulingana na Alphabet.Naomba kuuliza Kati ya
Antpas m lisu
John p magufuli
Kialfabeti yaani kwakufata herufi tangulizi ipiilitakiwa itangulie?
CCM wanajivunia kuiba kura wazi wazi, acha sangara na sato wa Victoria wafaidi a waoMe nafikiri inakupasa ukumbuke kuwa kura yako ni moja, hivyo ningekushauri ujikite katika swala zima la kuhakikisha haiharibiki, maana si kwa akili hizi.
Aiseee lini hii?Yule mama achana nae aliwahi wahaidi wasingida kuwapa maji ya kumwagilia ubuyu
Labda Askofu Gwajima asiye na akili anayethubutu kula wanakondoo wa Bwana aliokabithiwa awachunge. Wote wawili wanapenda wanakondoo weupe!Hivi kuna mtu na akili zake timamu anaweza kumchagua Magufuli?
Kwenye nafasi ya Mbunge na ya Diwani kama hayupo wa CHADEMA weka V yako kwenye nafasi ya Mgombea yeyote wa Upinzani aliyopo. Waliengua wagombea wetu wa Upinzanl tuwaengue wa kwao hivyo!Siku ya kupiga kura wahi kituoni. Ukiingia ndani ya chumba cha kupigia kura, utapewa karatasi za kupigia kura. Chukua ile jaratasi ya wagombea uraisi. Angalia lile jina la mwisho. Utakuta alama ya vidole viwili yaani nembo ya Chadema. Mbele yake utaona picha ya Salum Mwalim na Mbele yake picha ya Tundu Antipas Lissu. Mwishoni pale kuna sehemu ya kuweka alama. Chukua kalamu weka alama ya V. Usieeke alama nyingine kwenye fomu yako isije ikaharibika. Wakati mwingine wanatumia mhuri wa V. Ikiwa hivyo gonga mhuri kwenye hiyo sehemu mbele ya picha ya Lissu. Usifanye kingine. Kunja fomu yako kaitumbukize kwenye sanduku la kura za uraisi. Mshukuru Mungu kimyakimya kwa imani yako huku ukiomba kuwa kura yako wasiibe. Mbunge halikadhalika Chagua wa Chadema. Diwani wa chadema.
KUMBUKA KANUNI HII: WAKWANZA ATAKUWA WA MWISHO NA WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA,!!! Maana yake weka alama kwa yule wa mwisho kwenye krodha kwa sababu huyo ndiye wa kwanza kwenye matokeo.
Alifaa hata asipate Ubunge amesaidiwa na NECCM kwa kuengua Wapinzani kwa hiyo limepita bila kupingwa. Hateful!Vyoyote matokeo yatakavyo kuwa, Ndugai asiwe Spika...
Pamoja na kuwa
1. Wamefanya siasa miaka mitano peke yao.
2. Wanajisifia kufanya makubwa kila siku
3. Wamejenga Flyovers.
4. Wamenunua ndege, uwanja wa ndege Chato.
5. Wanatupigia magoti kwenye kampeni.
6. Wanatupa Fiesta bure kila mkutano
Ila bado sijasahau
1. Sakata la vyeti feki, dhuluma
2. Utekaji nyara Roma na wenzake nautekaji mwingine
3. Kupotea kwa Ben Saanane, Azroy Gwanda
4. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
5. Kupigwa risasi kwa Akwilina
6. Kura hela za rambirambi Bukoba kisha kusutwa kuwa hajaleta tetemeko, hapangiwi.
7. Kunyang'anywa korosho kisha kutishia kupiga mashangazi.
8. Dhuluma uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
9. Kutishiwa kuwa tusipochagua CCM hatuletewi umeme wala maji.
10. Kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani.
11. Ubabe wa polisi kila siku.
12. Kufungiwa kufanya kampeni kwa Lissu, Mdee, Maalim Seif, Mayor Jacob na wengine.
13. Kufungiwa kwa magazeti.
Kwa hayo machache tu, halafu wanajitamba wataunda serikali iwe isiwe maana kupiga kura kwingine ni sawa na KUMWAGA SUKARI ZIWA VICTORIA.
Basi hata kama jina la Lissu wataweka mwisho, ukurasa wa 2 au wa 100, nitalifata hukohuko NIKAMWAGE SUKARI ZIWA VICTORIA [emoji41].
Uchaguzi 2020 - Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania
View attachment 1602148
Bora ni mwage sukari ziwani kuliko kumpigia mtu ambaye ameshindwa kunipandisha daraja ambalo liko kisheria za kazi

Tuanze na wale wagombea wote wa chama chake. Nahisi watamchagua. Je mirembe kuna vitendea kazi vya kutosha?Hivi kuna mtu na akili zake timamu anaweza kumchagua Magufuli?