Nitamwambia asante

Nitamwambia asante

Mwezi wa nane mwishoni alikuwa field
Sawa mkuu.....
Naomba nikukumbushe ili kwa pamoja twende sawa pasipo hisia za kuonewa.

Wewe ulijiunga Jf tarehe 26 April 2018, na bilashaka ulijiunga kwa ID hii ya Lovehate ambayo inasadifu jambo lililo jificha nyuma yake yamkini ulijeruhiwa na mapenzi. Na hadi unajiunga Jf na unafungua ID hii maana yake ulikuwa una majeraha makubwa moyoni, ambayo pengine yamekuwa yakikupa maumivu kila wakati na kukufanya mwenye hasira na mpweke zaidi.

Ikiwa kama umeachwa mwezi April 2019 na huyu ulie mkabidhi moyo wako, yawezekana sana kwamba mwanzo aliamuwa kuku kubali na kukusaidi kwasababu alikuhurumia(hakukupenda) kutokana na pengine simulizi uliyo muhadithia kuhusu maumivu yako ya awali, na kwakuwa pengine wakati huo hakuwa kwenye mahusiano ndipo alijikuta anakuwa na wewe.

Yawezekana sana mpenzi wako amefikia hatua ya kukuacha kwasababu amekuwa akikuona ukitumia muda mwingi kukumbuka maumivu ya mahusiano yako ya awali (hata mimi naona hivyo) na hii hali haiku mfurahisha. Yawezekana umekuwa mnyonge zaidi kutokana na mahusiano yako ya awali, hali ambayo imepelekea asiione nafasi yake kwako.
Moja kati ya hizi sababu ndio zimepelekea mwenzako aamuwe kukuacha kwasababu haioni furaha kuwa na mahusiano na mtu ambae ni mjeruhiwa wa mapenzi.

Huo ni mtazamo tu, naomba usinikasirikie
 
Horseshoe Arch,
Naona kama laana itaenda kwake japo nishamsamehe,kumpa pesa zake ni vile naumia kuona hiki kidogo amekiacha nakitumia mwenyewe
 
Hako ka ID kako naanza kunusa harufu ya usaliti, ngoja CAG mpya aje afanye ukaguzi kwenye mahusiano yenu tuone kama palikuwa na matumizi mabaya ya upendo na hisia ili tujue who is who kwenye sakata hili
Tayari nishamkaguwa chief...
Huyu jamaa ni mjeruhiwa wa mda mrefu.
Na hayupo mtu anaeweza furahia mahusiano ambayo hayana furaha ndani yake
 
Mwanamke ni mtoto tena kihadhi ni yule mkubwamkubwa katika familia hatabiriki wala haaminiki 100% kwa maamuzi yake ya kihisia pasina chembe ya maamuzi kimantiki na kisadifu..na uwekezaji mbaya zaidi kumtokea mwanaume katika hii sayari ya dunia ni kuwekeza rasilimali pesa,muda,akili na hata imani kwa mwanamke....wengi wamepotezwa kinyama
 
Ushimen,
Lovehate ni quote niliyoipata kwenye series ya nikita kufungua ID nilivutiwa tu baada ya kuwa bench ndio nikaamua kuingia rasmi huo mwaka pia yeye ni first love kabla hakuna mahusiano yalioacha majeraha
 
Tayari nishamkaguwa chief...
Huyu jamaa ni mjeruhiwa wa mda mrefu.
Na hayupo mtu anaeweza furahia mahusiano ambayo hayana furaha ndani yake
Kwa heshima yako mkuu naomba niwape hongera wanaume wote waliooa wanawake wenye akili maana kuoa mwanamke mwenye akili inaleta furaha kuliko kuoa mwanamke mwenye elimu!
 
Lovehate ni quote niliyoipata kwenye series ya nikita kufungua ID nilivutiwa tu baada ya kuwa bench ndio nikaamua kuingia rasmi huo mwaka pia yeye ni first love kabla hakuna mahusiano yalioacha majeraha
Kijana, sisi wengine tulisha pitia makubwa zaidi ya hili unalo lipitia wewe.
Na hata kufikia hapa, tumeshakuwa wabobezi kwenye hii kada yau ndundu....
By the way, naomba nikupe pole kwa changamoto unayo ipitia, na ebu hili lichukulie kama tuisheni katika safari yako changa ambayo ndio kwanza umeianza
 
Kweli nilimlilia sana sasa naanzaa kujiona mjinga kumlilià mtu aliyeamua yeye kuondoka ndomana natamani ningeishia kusema tu asante
Haupaswi kumlilia mtu aliye amua yeye mwenyewe kuondoka, kwani hauwezi juwa nini amekuepushia na pengine haukuwa mpango wa Mungu. Na usisahau kwamba sio kila jambo tunalo muomba yeye lazima Mungu alijibu/alifanye kama tunavyo taka
 
Mmmh,, mim na wew hatujui

Mm nahis huenda tu demu kapata cha karbu, jamaa mwingine.
Maana fimbo ya mbali can't kill snake. Ushimen,
 
Mmmh,, mim na wew hatujui

Mm nahis huenda tu demu kapata cha karbu, jamaa mwingine.
Maana fimbo ya mbali can't kill snake.
Mkuu, ebu angalia vigezo nilivyo tumia kufikia hitimisho la uchambuzi wangu. Kisha nawe naomba unipe vigezo ulivyo tumia kuhitimisha kuhusu distance
 
Back
Top Bottom