Nitamwambia asante

Nitamwambia asante

1. Mwanaume akipata K mpya na nzuri huwa hakumbuki maumivu ya zamani, niwachache sna.

2. Mwanamke anaepanua mapaja kwa hiali mapema bila usumbufu, jua mahusiano anayajua vzur na pia anajua utamu ya mashine.

3. Mwanamke kutoa pesa yake kukupa ni wazi kuwa unamfanyia mambo mazuri, Lakini inapaswa kukumbuka pia mwanamke pia anapenda kupokea na kuona akioneshwa kua yeye anajaliwa zaidi.

Just why hata aliamua kwenda kuhudumiwa vyote na njemba nyingine.
Mkuu, ebu angalia vigezo nilivyo tumia kufikia hitimisho la uchambuzi wangu. Kisha nawe naomba unipe vigezo ulivyo tumia kuhitimisha kuhusu distance
 
Kijana, sisi wengine tulisha pitia makubwa zaidi ya hili unalo lipitia wewe.
Na hata kufikia hapa, tumeshakuwa wabobezi kwenye hii kada yau ndundu....
By the way, naomba nikupe pole kwa changamoto unayo ipitia, na ebu hili lichukulie kama tuisheni katika safari yako changa ambayo ndio kwanza umeianza
Sikuwahi kuyachukulia mapenzi serious so far, ndo maana hata niliyenaye sasa sijui kama ni rafiki, mke, mchuma ama nampenda tu...kikubwa nilicho experience kwa miaka yangu michache niliyoishi duniani kabla ya kifo cha penzi kunifika ni kwamba kuna kupenda na kupendwa ila ni wachache sana wanaokutana wakiwa wanapendana!
Ukiacha mapenzi ya kwenye vitabu vya dini pamoja ya yale ya kwenye filamu za kikorea ni mara chache sana kwa kizazi cha sasa kukuta watu wamependana bila kuwepo na external factor.
Aina ya penzi alilopitia ndugu yetu mwenye chapisho ingekuwa tamthiliya pale mwanzoni kabisa kwa namna walivyokutana na mapito waliyopita kwa maana ya binti kuwa mfadhili haaihitaji akili kubwa kujua kwamba binti hakua amepata exposure period na alipoipata macho ya rohoni yakafunguka na kugundua kwamba moyo wake aliusahau usukumani huko ilihali kiuhalisia ulistahili kuwepo Posta mpya!
 
Mkuu, ebu angalia vigezo nilivyo tumia kufikia hitimisho la uchambuzi wangu. Kisha nawe naomba unipe vigezo ulivyo tumia kuhitimisha kuhusu distance
Sijui nimebakiwa na dhahania tu LABDA kapata mwingine
LABDA hakunipenda ni huruma tu alinioneà
Labda labda labda
 
Huyo ni mwekezaji na mara nyingi wawekezaji huwekeza pale anapoona security ya mtaji wake ipo, yumkini alishanusa harufu kwamba utakuja kumtolea mbavuni ndio maana akaamua kukubwaga kabla!

Ebitoke aliokota mtoto baru baru wa mjini kwa jina la Yusuf akawekeza moyo,mwili na mali akidhani Yusuf huyu ni ukoo wa yule Yusuf babake Yesu wa kufikia but look kumbe huyu ni Yusuf Mlela bhana, kammega kisela kisha kamfyekelea mbali na maisha yanaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Mwanaume akipata K mpya na nzuri huwa hakumbuki maumivu ya zamani, niwachache sna.

2. Mwanamke anaepanua mapaja kwa hiali mapema bila usumbufu, jua mahusiano anayajua vzur na pia anajua utamu ya mashine.

3. Mwanamke kutoa pesa yake kukupa ni wazi kuwa unamfanyia mambo mazuri, Lakini inapaswa kukumbuka pia mwanamke pia anapenda kupokea na kuona akioneshwa kua yeye anajaliwa zaidi.

Just why hata aliamua kwenda kuhudumiwa vyote na njemba nyingine.
Nipo na zawadi zake hapa tulikuwa tunatoana
 
Jamani kwa nini kunivunja mbavu hivi
Huyo ni mwekezaji na mara nyingi wawekezaji huwekeza pale anapoona security ya mtaji wake ipo, yumkini alishanusa harufu kwamba utakuja kumtolea mbavuni ndio maana akaamua kukubwaga kabla!

Ebitoke aliokota mtoto baru baru wa mjini kwa jina la Yusuf akawekeza moyo,mwili na mali akidhani Yusuf huyu ni ukoo wa yule Yusuf babake Yesu wa kufikia but look kumbe huyu ni Yusuf Mlela bhana, kammega kisela kisha kamfyekelea mbali na maisha yanaendelea
 
Mimi naomba niulize swali
Hivi ni bora
1. mtu aendelee kufake kuwa anakupenda huku hisia zake juu yako zimebadilika, yaani hakupendi kama mwanzo kakutana na anayempenda zaidi
2. mtu aseme ukweli wake mapema ili kila mmoja aendelee mbele ( na kila siku tunausiana ukweli humweka mtu huru)
Ni kwa nini tukiachwa tu naona ni mwisho wa dunia??
 
Mimi naomba niulize swali
Hivi ni bora
1. mtu aendelee kufake kuwa anakupenda huku hisia zake juu yako zimebadilika, yaani hakupendi kama mwanzo kakutana na anayempenda kipindi
2. mtu aseme ukweli wake mapema ili kila mmoja aendelee mbele ( na kila siku tunausiana ukweli himwekq mtu huru)
Ni kwa nini tukiachwa tu naona ni mwisho wa dunia??
Bora aseme ukweli maana mazuri nilyopanga kumfanyia Allah anajua
 
Hivi kwa nini huwa kuna nyuzi za hivi...

Suck it up...nigga!
Ili watu wajue wakati wakati huyu analalamika kuachwa na aliyetoka nae chini kuna mwingine anacha alichokipandisha juu
 
Alinikuta sina kazi nipo nipo tu nikamtongoza akanikubalia akaniambia ananipenda hivyo hivyo,mapenzi yakaanza akaenda chuo akanipatia kiasi cha pesa kutoka kwenye boom lake.

Nikamwambia poa nipe miezi sita faida itaanza kuonekana kweli bhana Allah akajalia mambo yakaanza kuwa mazuri nikazidi kumpenda nikampa moyo wote nikampa heshima ya kumuona huyu ndio mwanamke aliyeamua kuijenga empire yake ana haki ya kuaminiwa.

Tufupishe story Kilichomkuta anajua mwenyewe alinitumia txt akaniambia "naomba uniache uwe na mwngine " bembeleza anipe sababu hataki ikawa hivyo penzi la miaka miwili likaishia kwa style hiyo.

Siwezi kukutafuta tena ila siku ukinitafuta nitaishia kukwambia ASANTE

Kashapata dume la mbegu huko chuoni, au lecturer anakula mzigo. Wee tulia amua kama utajirisk msubiri amalize chuo ila ujue unamegewa vya kutosha. Au delete, sepa anza maisha mapya
 
Wanawake wapo wengi sana duniani, na yumkini wengine hutakuja kutana nao kwa jinsi walivyo wengi...

Huyo mmoja tu asikuzuzue, kaamua kuondoka mwache aende zake
Ili watu wajue wakati wakati huyu analalamika kuachwa na aliyetoka nae chini kuna mwingine anacha alichokipandisha juu
 
Back
Top Bottom