huyu ana lake jambo alomuumiza ajampa pole wala kumweleza kwamba ameoa ww anakuomba pole kweli hii ni haki asiowapenda watu wa nyumbani kwake mwenyewe ni mbaya kuliko asiyeamini[/QUOTE]
kamsemo katamu....

mbona ujagonga thanks
hutaki,hupendi au?sema usikike
mbona ujagonga thanks
mumewangu mm nimekujibu kule kote hujasema kitu,majina yooote matamu nimekuita,sasa c ulisema sijakutambulisha mashem zako?kumbe unawajua eeeeeeh?
aaaah usitake nicheke mke wangu umenitambulisha mmoja tu mpaka ss
nshasema miye, kama hujanisikia basi umeziba masikio.....lol
Jamani naona tuache kupoteza calories zetu kwa kumshauri huyu jamaa,sidhani kama anahitaji ushauri huyu,anatuzuga.
mumewangu mm nimekujibu kule kote hujasema kitu,majina yooote matamu nimekuita,sasa c ulisema sijakutambulisha mashem zako?kumbe unawajua eeeeeeh?
aaaah usitake nicheke mke wangu umenitambulisha mmoja tu mpaka ss
Jamani naona tuache kupoteza calories zetu kwa kumshauri huyu jamaa,sidhani kama anahitaji ushauri huyu,anatuzuga.
kule kwenye majina matam umeona?lkn wako wengi zen ss waafrica woteee ni ndugu as daiz goz on watazidi kuongezeka tu,usiwe na wasi wanaoongezeka ni madada na wadogo wa kike wangekuwa wa kiume je?si ningejuuta kukufaham?
nimekugongea thanks dia au ujaona
wachana naye huyu!! he is wasting our precoius time tu my dear!! tumeuliza tumechoka........eeeh loh story yako sijaielewa elewa ..ulivyo mu -approach mwanzo ulimwambia hujaoa , utamuoa ?
sijakuelewa Firstlay unamaanisha nilipomuapproach yupi? mana hapa kuna niliemuoa na yule mchumba tunaemzungumzia
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!