Kuwa mkweli tu tena wala usipoteze muda. Haya mambo yanayotokea duniani kote na yanafanywa na jinsia zote na wewe siyo wa kwanza. Itakuwa vizuri kuwa naye ana kwa ana kama una ujasiri wa kufanya hivyo.
Hajui tunaishi nchi tofauti na ata hivo mawasiliano hayakuwa mazuri kw kipindi kifupi tu km 3 months hivi
Thanks Bubu nashukuru kwa ushauri wako, lakin huyu mtu yuko mbali kwaiyo kuonana itakuwa ngumu zaidi ni kumpigia simu maana tuko nchi tofauti but thanks very much
Hapo huna jinsi inabidi kuongea naye kwa simu tu. Kila la heri katika maisha yako ya ndoa.
Hapo huna jinsi inabidi kuongea naye kwa simu tu. Kila la heri katika maisha yako ya ndoa.
Nenda kamuwekee picha zenu za harusi mlangoni mwake!!Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
BAK Kirahisi namna hiyo 😉
Hivi Bubu umeoa babu?
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
Payback time...veeeeeeeeeeery soon...life is like that
ulipoteza mawasiliano naye kwa makusudi ili tu upate nafasi ya kuoa mwanamke mwingine kwa kisingizio cha kutowasiliana, hapo kwanza tambua umefanya uhuni na ufisadi wa ahadi kwa mwenzio, kikubwa ulikuwa na tamaa, hata hivyo una nafasi kumwambia kwa ujasili wemye upendo ndani kama uliotumia kumtongoza hapo awali kuahidi ahadi za Ki-CCMHabari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
BAK MkuuHaya mambo jamani yanatokea mara nyingi na duniani kote. Unapokutana na mtarajiwa ambaye ana sifa zaidi kuliko yule uliyekuwa naye mwanzoni basi hakuna ubaya wowote wa kubadilisha mawazo na kuamua vinginevyo. Kwanini uendelee na yule uliyekuwa naye wakati huyu mwingine moyo wako unampenda zaidi? Kwani huyu alifungwa kamba kwamba ni lazima amuoe huyo mchumba wake wa kwanza?
Haya mambo jamani yanatokea mara nyingi na duniani kote. Unapokutana na mtarajiwa ambaye ana sifa zaidi kuliko yule uliyekuwa naye mwanzoni basi hakuna ubaya wowote wa kubadilisha mawazo na kuamua vinginevyo. Kwanini uendelee na yule uliyekuwa naye wakati huyu mwingine moyo wako unampenda zaidi? Kwani huyu alifungwa kamba kwamba ni lazima amuoe huyo mchumba wake wa kwanza?
..........BAK ni kweli yanatokea, ila ni bora kama mtu umeamua kuoa msichana mwingine umwambie ukweli yule wa mwanzo. Sasa huyu kaka kaoa bila kumtaarifu mwenzio, huyo mdada maskini anamsubiria huyu kaka kuja kumuoa kumbe mwenzake alishaoa.
Huyu kaka kafanya ukatili wa hali ya juu, angemwambia mapema binti wa watu ili na yeye achukue ustaarabu mwingine. Utakuta huyu dada anapata wanaume wengine huko tena wa maana anawakataa na kumsubiri huyu aliyeoa.
acha usanii mkuu toa maoni or mchango wako hapa
Kama ulikuwa hujashiriki naye tendo la ndoa na umekiri ulimwahidi kumwoa basi lazima umemfanyia kitendo cha kinyama. Pili, nini kimekupelekea kumwoa huyo binti unayesema "naye anasifa ya kuwa mke", fafanua ni sifa zipi hizo ambazo zinakingana na huyo wa zamani.
Linc
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu