Nitamwambiaje mchumba wa zamani kuwa sitomuoa tena

Do you know that you have wasted her time? yawezekana kapata wachumvba wengi tu wa maana kawamwaga kwa ajili yako kumbe wewe ushaoa. **************

Hapo kwenye red carmel nimejaribisha kuweka maneno ili nipata dongo ulilomrushia yote yamegoma. Itabidi uni PM ili nami niongeze msamiati mpya! πŸ™‚
 
Mmmmh! Wewe Msindima itabidi nikutafute PM wewe....Maana hiyo harusi hata mimi nilihudhuria kabisa. Nasihi ni hiyo hiyo kabisa, haiwezekani hadithi zikafanana kiasi hicho.

Kilikuwa kituko cha mwaka! Yaani kamati ya maandalizi ya harusi ilikuwa ile ile, wajumbe wale wale, kilichobadilika ni bibi harusi tu. Kuna baadhi ya wageni waalikwa walishangaa kukuta bibi harusi si yule wanayemfahamu.
 
Hapo kwenye red carmel nimejaribisha kuweka maneno ili nipata dongo ulilomrushia yote yamegoma. Itabidi uni PM ili nami niongeze msamiati mpya! πŸ™‚

laaziz.......
 
aaaaaaaaaaaah B mi mwenyewe nimeuliza ili nione mashiko jamaa naona ananipotezea mwishowe natumia emotion zaidi hapa....

Hapo kwenye red maana yake nini? Au lugha ya JF ambayo mimi imenipita kushoto. Nimeona huo msamiati unatumika mara kwa mara hapa and I have failed to connect the dots!
 
Hapo kwenye red maana yake nini? Au lugha ya JF ambayo mimi imenipita kushoto. Nimeona huo msamiati unatumika mara kwa mara hapa and I have failed to connect the dots!

ngoja....nikueleze kwa kidhungu au kispaniola??

Yes laaziz how have you been? Sijakuona siku nyingi!

mmh mapenzi ya mashaka hyo hamuonani??? ( afu barbie binamu yangu Kaizer anajua?
 
yaani Theo weee acha tu wakati mwingine unakosa la kusema when it comes to these things................mateso tu!!!
 
ngoja....nikueleze kwa kidhungu au kispaniola???

Jamani ni kweli niko serious sijui maana yake!

mmh mapenzi ya mashaka hyo hamuonani??? ( afu barbie binamu yangu Kaizer anajua?

Kaizer wa kwake haitwi Babra, unalijua jina lake. Haya mapenzi yetu we acha tu, waarabu wa Pemba tunajuana kwa vilemba! Yaani mpaka nataka kujiandikisha kwenye lile kundi la ''singles'' siku ya Valentines Day kule kwenye topic ya vivian!
 
kitu chenye mashiko/sababu yenye mashiko its the one which holds water, si unaelewa........ukishindwa ntasema kisukuma pia (kama wewe ni wa kunyumba)

mmh huyu Barbie najua hadi jina lake la kinyumbani na ndo huyo huyo wa binamu yangu K!!!
 
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
hapa umechanganya habari nyingi kwa pamoja kama umeshaoa ina maana automatically atakuwa anafahamu kama hafahamu ina maana wewe unaficha kuwa una mke na utakuwa unakmosea sana mkeo.
 
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu
...Kama hujashare nae mapenzi wala hukumuahidi kuwa utamuoa hakuna ugumu wowote hapo..We endelea kula maisha na mai-wife wako tu...Hakuna cha kulipa wala nini...things do change na maisha lazima yaendelee...
 
Kumbeeeeeeeeeeee!!! Simple like that??????
 
kitu chenye mashiko/sababu yenye mashiko its the one which holds water, si unaelewa........ukishindwa ntasema kisukuma pia (kama wewe ni wa kunyumba)

mmh huyu Barbie najua hadi jina lake la kinyumbani na ndo huyo huyo wa binamu yangu K!!!

Sawa mamii, hatimaye nimekuelewa sasa. Ila nahisi hiyo mmefanya direct translation for the purpose of JF discussion and it is not an officia BAKITA translation(!?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…