Nitaongoza Kuzomea Yanga ya Tanzania kesho Taifa

Nitaongoza Kuzomea Yanga ya Tanzania kesho Taifa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kesho Yanga ya Tanzania inacheza na Gol Mahia ya Kenya katika ufunguzi wa kombe la Kagame.Kimsingi nilitakiwa kuwa upande wa Yanga kizalendo.Kwa kuwa TFF ya Malizi imeendelea kuleta siasa na kumualika mgombea urais wa CCM kuwa mgeni rasmi,nitaongoza zomea zomea dhidi ya Yanga
 
Mbinu mpya zilizoletwa na kocha wa Simba. ImageUploadedByJamiiForums1437152046.878035.jpg
 
Kesho Yanga ya Tanzania inacheza na Gol Mahia ya Kenya katika ufunguzi wa kombe la Kagame.Kimsingi nilitakiwa kuwa upande wa Yanga kizalendo.Kwa kuwa TFF ya Malizi imeendelea kuleta siasa na kumualika mgombea urais wa CCM kuwa mgeni rasmi,nitaongoza zomea zomea dhidi ya Yanga[/QU ! ! i wish i were there, hasa ukizingatia nisivyoipenda yanga ukiongeza na chuki yangu kwa ccm ningezomea mpaka basi. Yanga ifungwe kesho goli tatu bila. Aimen
 
KWANI HIYO KESHO MWANANCHI MWENZANGU ITAKUA MARA YA KWANZA YANGA WANAZOMEWA ? YANGA INAWAKILISHA NCHI ,TANZANIA NA WATANZANIA WANAJULIKANA MPAKA AKHERA KWAMBA UWANJANI SIMBA NA YANGA HATUPENDANI NDIO MAANA TIMU ZETU MPAKA TIMU YA TAIFA HAZIFANYI VIZURI. TUBADILIKE.
 
Kama napata picha flani hivi kuwa YANGA ni CCM...!.

Au wana maana gani hao wazomeaji...........mambo ya KIBA NA DIE-MONDE haya, haya ngoja tuone asee.
 
Yanga sio CCM, bali CCM ndio Yanga maana sisi tulianza na wao wakafuatia baada ya kufurahishwa na Club ya Taifa, chama kubwa Young Africans S.C

Like father like son.

Like mother like doutah.
 
Yanga sio CCM, bali CCM ndio Yanga maana sisi tulianza na wao wakafuatia baada ya kufurahishwa na Club ya Taifa, chama kubwa Young Africans S.C
Upo vyema kabisa....
Naishabikia Yanga ila hata kadi ya hicho chama sina...... .
Kuna watu hawanaga hoja zaidi ya kuuungaunga maneno yasiyo na ukweli......
Ushabiki wa mpira msiufanye kisiasa mtaumia bure.......
 
Yanga inahusika vip na Malinzi??ukizomea ss tunashinda..Yanga oyeeeeeeeeeeh,Tunaiman na Yetuuuu Oyaaaaa,oyaaaaa,oyaaaaa
 
Back
Top Bottom