OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kesho Yanga ya Tanzania inacheza na Gol Mahia ya Kenya katika ufunguzi wa kombe la Kagame.Kimsingi nilitakiwa kuwa upande wa Yanga kizalendo.Kwa kuwa TFF ya Malizi imeendelea kuleta siasa na kumualika mgombea urais wa CCM kuwa mgeni rasmi,nitaongoza zomea zomea dhidi ya Yanga
