Nitaongoza Kuzomea Yanga ya Tanzania kesho Taifa

Nitaongoza Kuzomea Yanga ya Tanzania kesho Taifa

KWANI HIYO KESHO MWANANCHI MWENZANGU ITAKUA MARA YA KWANZA YANGA WANAZOMEWA ? YANGA INAWAKILISHA NCHI ,TANZANIA NA WATANZANIA WANAJULIKANA MPAKA AKHERA KWAMBA UWANJANI SIMBA NA YANGA HATUPENDANI NDIO MAANA TIMU ZETU MPAKA TIMU YA TAIFA HAZIFANYI VIZURI. TUBADILIKE.

!
!
kufanya vibaya kunatokana na kuingiza siasa katika soka.......magufuli kwa lipi alilolifanya katika soka la tanzania mpaka kuwa mgeni rasmi....blalifaken
 
Kesho Yanga ya Tanzania inacheza na Gol Mahia ya Kenya katika ufunguzi wa kombe la Kagame.Kimsingi nilitakiwa kuwa upande wa Yanga kizalendo.Kwa kuwa TFF ya Malizi imeendelea kuleta siasa na kumualika mgombea urais wa CCM kuwa mgeni rasmi,nitaongoza zomea zomea dhidi ya Yanga

Mi nitahakikisha nakuwa wa kwanza kuwazomea hao yebo yebo
 
Sasa mnazomea yanga au magufuli kwani yanga ndo wamechagua magufuli awe mgeni rasmi
 
Bongo hakuna soccer, bali kuna kabumbu,
Nilishaacha siku nyingi sana kufuatilia abumbu la Bongo
SINA IMANI NA UKAWA
 
we ni msengerema huna uzalendo! follow ur heart we hate rubbish.
 
We played very well,we've got penalt but unlucky we lost the game!..DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.....
 
Yanga sio CCM, bali CCM ndio Yanga maana sisi tulianza na wao wakafuatia baada ya kufurahishwa na Club ya Taifa, chama kubwa Young Africans S.C
niliamini yanga ni ccm ila umenishawishi kwa point yako mrembo
 
Back
Top Bottom