OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa hiyo
Kesho Yanga ya Tanzania inacheza na Gol Mahia ya Kenya katika ufunguzi wa kombe la Kagame.Kimsingi nilitakiwa kuwa upande wa Yanga kizalendo.Kwa kuwa TFF ya Malizi imeendelea kuleta siasa na kumualika mgombea urais wa CCM kuwa mgeni rasmi,nitaongoza zomea zomea dhidi ya Yanga[/QU ! ! i wish i were there, hasa ukizingatia nisivyoipenda yanga ukiongeza na chuki yangu kwa ccm ningezomea mpaka basi. Yanga ifungwe kesho goli tatu bila. Aimen
KWANI HIYO KESHO MWANANCHI MWENZANGU ITAKUA MARA YA KWANZA YANGA WANAZOMEWA ? YANGA INAWAKILISHA NCHI ,TANZANIA NA WATANZANIA WANAJULIKANA MPAKA AKHERA KWAMBA UWANJANI SIMBA NA YANGA HATUPENDANI NDIO MAANA TIMU ZETU MPAKA TIMU YA TAIFA HAZIFANYI VIZURI. TUBADILIKE.Kesho Yanga ya Tanzania inacheza na Gol Mahia ya Kenya katika ufunguzi wa kombe la Kagame.Kimsingi nilitakiwa kuwa upande wa Yanga kizalendo.Kwa kuwa TFF ya Malizi imeendelea kuleta siasa na kumualika mgombea urais wa CCM kuwa mgeni rasmi,nitaongoza zomea zomea dhidi ya Yanga[/QU ! ! i wish i were there, hasa ukizingatia nisivyoipenda yanga ukiongeza na chuki yangu kwa ccm ningezomea mpaka basi. Yanga ifungwe kesho goli tatu bila. Aimen
Kama napata picha flani hivi kuwa YANGA ni CCM...!.
Au wana maana gani hao wazomeaji...........mambo ya KIBA NA DIE-MONDE haya, haya ngoja tuone asee.
tuna imani na lowasa kesho magamba aibu
Yanga sio CCM, bali CCM ndio Yanga maana sisi tulianza na wao wakafuatia baada ya kufurahishwa na Club ya Taifa, chama kubwa Young Africans S.C
Upo vyema kabisa....Yanga sio CCM, bali CCM ndio Yanga maana sisi tulianza na wao wakafuatia baada ya kufurahishwa na Club ya Taifa, chama kubwa Young Africans S.C
Yanga sio CCM, bali CCM ndio Yanga maana sisi tulianza na wao wakafuatia baada ya kufurahishwa na Club ya Taifa, chama kubwa Young Africans S.C