Nitaongoza Kuzomea Yanga ya Tanzania kesho Taifa

 

Mi nitahakikisha nakuwa wa kwanza kuwazomea hao yebo yebo
 
Sasa mnazomea yanga au magufuli kwani yanga ndo wamechagua magufuli awe mgeni rasmi
 
Upo upande gani Wa uwanja ukizomea??
 
Bongo hakuna soccer, bali kuna kabumbu,
Nilishaacha siku nyingi sana kufuatilia abumbu la Bongo
SINA IMANI NA UKAWA
 
we ni msengerema huna uzalendo! follow ur heart we hate rubbish.
 
We played very well,we've got penalt but unlucky we lost the game!..DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.....
 
Yanga sio CCM, bali CCM ndio Yanga maana sisi tulianza na wao wakafuatia baada ya kufurahishwa na Club ya Taifa, chama kubwa Young Africans S.C
niliamini yanga ni ccm ila umenishawishi kwa point yako mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…