Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
[emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa soka letu.kuna habari kwenye mitandao kuwa upo mpango wa kumfungia CEO wetu Barbara Gonzalez kwa muda wa miaka 5 au maisha ili waweze kutimiza lengo Lao la kusaini mkataba na mdhamini wa mchongo
Ili kufanikisha Hilo ,kesi ya Barbara imebuliwa upya na Sasa wanataka kuanza utekelezaji.
[emoji599]Kwanza Tukumbuke Barbara alishtakiwa na ofisa wa juu wa soka letu,lakini Hakuna hatua zilizochukuliwa kwa ofisa huyo baada ya kufuta kesi yake
[emoji2389].Je huyo Ofisa ambaye hajui kuwa masuala ya mpira hayaendi mahakama na anaachwaje kuendelea na majukumu yake hata Kama kesi aliifuta!?
[emoji2390].Kwanini uwepo mpango wa kudumaza Nguvu ya Barbara baada ya kuona amekuwa na Nguvu nje na ndani ya nchi yetu katika soka??
🟥Kila Mwanasimba ajiandae kukemea lengo baya la watu hawa