Nitaongoza wanasimba kwenda mahakamani, acha tz ifungiwe na fifa

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
[emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa soka letu.kuna habari kwenye mitandao kuwa upo mpango wa kumfungia CEO wetu Barbara Gonzalez kwa muda wa miaka 5 au maisha ili waweze kutimiza lengo Lao la kusaini mkataba na mdhamini wa mchongo

Ili kufanikisha Hilo ,kesi ya Barbara imebuliwa upya na Sasa wanataka kuanza utekelezaji.

[emoji599]Kwanza Tukumbuke Barbara alishtakiwa na ofisa wa juu wa soka letu,lakini Hakuna hatua zilizochukuliwa kwa ofisa huyo baada ya kufuta kesi yake
[emoji2389].Je huyo Ofisa ambaye hajui kuwa masuala ya mpira hayaendi mahakama na anaachwaje kuendelea na majukumu yake hata Kama kesi aliifuta!?
[emoji2390].Kwanini uwepo mpango wa kudumaza Nguvu ya Barbara baada ya kuona amekuwa na Nguvu nje na ndani ya nchi yetu katika soka??

🟥Kila Mwanasimba ajiandae kukemea lengo baya la watu hawa
FB_IMG_1651854966278.jpg
 
[emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa juu wa soka letu.Upo mpango wa kumfungia CEO wetu Barbara Gonzalez kwa muda wa miaka 5 au maisha ili waweze kutimiza lengo Lao la kusaini mkataba na mdhamini wa mchongo

Ili kufanikisha Hilo ,kesi ya Barbara imebuliwa upya na Sasa wanataka kuanza utekelezaji.

[emoji599]Kwanza Tukumbuke Barbara alishtakiwa Mahakamani na ofisa wa juu wa soka letu,lakini Hakuna hatua zilizochukuliwa kwa ofisa huyo baada ya kufuta kesi yake Mahakamani
[emoji2389].Je huyo Ofisa ambaye hajuhi kuwa masuala ya mpira hayaendi mahakama a kirai anaachwaje kuendelea na majukumu yake hata Kama kesi aliifuta!?
[emoji2390].Kwanini uwepo mpango wa kudumaza Nguvu ya Barbara baada ya kuona amekuwa na Nguvu nje na ndani ya nchi yetu katika soka??

🟥Kila Mwanasimba ajiandae kukemea lengo baya la watu hawaView attachment 2214397
Wewe kweli kichwa maji.

Mambo binafsi utukanwe alafu usiende kushtaki Polisi. Upigwe na mchezaji kama Morrison alafu usiende kushtaki Polisi.

Kapimwe akili, labda ulitakiwa uwe chini ya uangalizi wa madaktari wa Milemb il mwenyewe hujui!

Screenshot_20220506-230012_Chrome.jpg
 
[emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa juu wa soka letu.Upo mpango wa kumfungia CEO wetu Barbara Gonzalez kwa muda wa miaka 5 au maisha ili waweze kutimiza lengo Lao la kusaini mkataba na mdhamini wa mchongo

Ili kufanikisha Hilo ,kesi ya Barbara imebuliwa upya na Sasa wanataka kuanza utekelezaji.

[emoji599]Kwanza Tukumbuke Barbara alishtakiwa Mahakamani na ofisa wa juu wa soka letu,lakini Hakuna hatua zilizochukuliwa kwa ofisa huyo baada ya kufuta kesi yake Mahakamani
[emoji2389].Je huyo Ofisa ambaye hajuhi kuwa masuala ya mpira hayaendi mahakama a kirai anaachwaje kuendelea na majukumu yake hata Kama kesi aliifuta!?
[emoji2390].Kwanini uwepo mpango wa kudumaza Nguvu ya Barbara baada ya kuona amekuwa na Nguvu nje na ndani ya nchi yetu katika soka??

🟥Kila Mwanasimba ajiandae kukemea lengo baya la watu hawaView attachment 2214397

Tupatie chanzo cha melezo yako maana haya maelezo bila ushahidi ni redio mbao tu.
 
Ukisikia umbumbumbu wa kiwango Cha lami ndio huu, kama taarifa Yako ni ya kweli Barbara hakuwai kufunguliwa kesi na shirikisho la soka Nchini, ila Alifunguliwa malalamiko na mmoja wa wafanyakazi wa Tff baada ya kudharirishwa na Barbara. Mtu binafsi anao uwezo wa kushtaki kwakua yeye binafsi ndio aliye shambuliwa na Barbara na sio Tff.
Kinacho hitajika Barbara apambane na majanga yake kama ilivyo Kwa Morrison anavyo pambana na majanga yake uko polisi.
Isitoshe Barbara awezi kuichafua klabu Kwa matatizo yake binafsi. Barbara ata akiadhibiwa klabu hai usiki na adhabu atakayo pewa.
 
Kauli za kijinga sana hizi
Hii ndio shida ya hizi team mbili kudhani ni wakubwa kuliko sheria siku mmoja akipigwa na kitu kizito ndio wanatajuwa kama hawajui. Yanga waliona hili wakati wa JPM wakato Manji yuko rumande eti wakawa wanakuja kusukuma gari yake na kuifuta kuonyesha nguvu zao JPM akapeleka onyo tu kwani alionekana mtu tena? Manji alidhani Yanga kubwa hawawezi kumuacha peke yake shughuli aliona. Sasa Simba wasije kujiona wakubwa kuliko wengine kikubwa wasionewe lakini kama haki imetendeka hakuna mkubwa maana hata Simba na ukubwa wao watacheza league gani? sawa league itapungua mvuto lakini wewe utacheza na nani? dhumna. Alishushwa Juventus huko na adabu juu.
 
Miaka mitano kwa kosa gani?😂😂😂
Kumdhalilisha mtu ( japo sikuona udhalilishaji) ?
Hamna kosa hata la wiki moja hapo....
 
[emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa soka letu.kuna habari kwenye mitandao kuwa upo mpango wa kumfungia CEO wetu Barbara Gonzalez kwa muda wa miaka 5 au maisha ili waweze kutimiza lengo Lao la kusaini mkataba na mdhamini wa mchongo

Ili kufanikisha Hilo ,kesi ya Barbara imebuliwa upya na Sasa wanataka kuanza utekelezaji.

[emoji599]Kwanza Tukumbuke Barbara alishtakiwa na ofisa wa juu wa soka letu,lakini Hakuna hatua zilizochukuliwa kwa ofisa huyo baada ya kufuta kesi yake
[emoji2389].Je huyo Ofisa ambaye hajui kuwa masuala ya mpira hayaendi mahakama na anaachwaje kuendelea na majukumu yake hata Kama kesi aliifuta!?
[emoji2390].Kwanini uwepo mpango wa kudumaza Nguvu ya Barbara baada ya kuona amekuwa na Nguvu nje na ndani ya nchi yetu katika soka??

🟥Kila Mwanasimba ajiandae kukemea lengo baya la watu hawaView attachment 2214397
hatakiwi kuchukuliwa hatua kwa sababu gani kati ya hizi ?
1-hakutenda kosa na anasingiziwa
2-kwa kuwa ni CEO wa simba
3-kwa kuwa simba ni klabu kubwa na yeye ni mmoja wa viongozi wa kubwa
4-kwa kuwa ni mwanamke?
 
Dah Kama ni Kweli Basi Wategemee 'Timbwili' Sio la Kitoto Ambalo Litasababisha Timu Zinazoshuka daraja Msimu huu Zisijulikane na Bingwa Asipatikane. NBC na ASFC...!

Mitaa Ya Twiga na Jangwani ni kuchafu sana povu linahitajika..!
 
Sheria haina ukubwa, watanzania tuache ujinga huu wakudhani mtu ni mkubwa au Taasisi ni kubwa kuliko Sheria!!. Unaleta usimba katika makosa ya mtu binafsi? Swali dogo je Hana kosa??.
 
Back
Top Bottom