Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

De Professor

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2021
Posts
237
Reaction score
505
Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba.
Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
 
Habari.
Nitahusika kwa habari ya Kanga. Niko Kongwa Dodoma kwasasa ilipo Poultry Farm yetu ila Ofisi iko Kariakoo Likoma/Magira st.
Nifahamishe unahitaji
☆ Kanga Kiasi gani (wangapi)
☆ Wa umri gani
☆ Kwa Muda gani na
☆ Offa yako ni kiasi gani

Tupate kupitia Открыть WhatsApp
Tupigie +255-(767)-11-222-1

Pitia ukurasa wetu Twitter @WorldChickenDsm
Nikipata maelezo yako naweezo kutoa ushauri ili mradi wako uwe na matokeo chanya zaidi

KARIBU.
 
Back
Top Bottom