Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unisaidie kujua zinapatikana wapi ili niende huko nikaeleze tatizo langu wanisaidieKwa daktari wako lakini atakuandikia kama unene unahatarisha maisha yako mfano high BP,
Naomba unielekeze wapi zinapatikana nikaelezee tatizo langu huko watanielewa maana huwa napata pre eclampsia l wakati wa mimbaKwa daktari wako lakini atakuandikia kama unene unahatarisha maisha yako mfano high BP,
Kwa ushauri tu kabla ujaanza madawa fanya vitu vifuatavyo..Habari wana jamii forum, naomba mwenyekujua hizo pills za phertamine vinapatikana wapi kwa Tanzania maana nimesikia zimepitishwa na shirika la afya duniani kuwa zinasaidia kupunguza uzito sasa nataka nizipate kwa Tanzania nitapata wapi?
Nenda ukakatwe utumbo.Habari wana jamii forum, naomba mwenyekujua hizo pills za phertamine vinapatikana wapi kwa Tanzania maana nimesikia zimepitishwa na shirika la afya duniani kuwa zinasaidia kupunguza uzito sasa nataka nizipate kwa Tanzania nitapata wapi?
Nikifanya hivi nastop kuongezeka tu na wala sipungui, mazoezi kazi yangu hainiruhisu kufanya mazoezi saa 12 narudi saa 3 usiku, ndo maana nataka dawaKwa ushauri tu kabla ujaanza madawa fanya vitu vifuatavyo..
Epuka kula vyakula vyenye sukari nyingi kama soda, juisi bandia, keki, biskuti nk.
Usiendelee kula iwapo unahisi umeshiba.
Badala ya kula vyakula vya wanga na mafuta, ongeza kula ulaji wa vyakula visivyo na nishati lishe nyingi kama vile mboga za majani na matunda.
kunywa maji ya kutosha, kipindi cha asubuhi kunywa angalau glasi tatu pindi tu unapoamka
kisha fanya mazoezi japo 45 ndani ya siku 4 katkia wiki
Tumia pia hizo food supplements zinaitwa fat burner. pia kacheki cholesterol level.Nikifanya hivi nastop kuongezeka tu na wala sipungui, mazoezi kazi yangu hainiruhisu kufanya mazoezi saa 12 narudi saa 3 usiku, ndo maana nataka dawa