Nitapata wapi pills za kupunguza uzito

Nitapata wapi pills za kupunguza uzito

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Habari wana jamii forum, naomba mwenyekujua hizo pills za phertamine vinapatikana wapi kwa Tanzania maana nimesikia zimepitishwa na shirika la afya duniani kuwa zinasaidia kupunguza uzito sasa nataka nizipate kwa Tanzania nitapata wapi?
 
Hospitali gani zipo nikaandikiwe na daktari wa hiyo hospitali maana Nina tatizo
 
Nataka kubeba msimba na nikibeba mimba bp huwabinapanda sana juu ya unene na mafuta mengi sasa Dr kanambia nipungue kutoka kilo 110. Niwe walau na 80 ndo nibebe nishafanya kila kitu lkn nimeshindwa ktk uliza uliza nimeambiwa phertamine ndo nikaona nizitafute
 
Dawa yenyewe ni hii hapa
wiitchcraftandsnacks-20180728-0002.jpg
 
Kwa daktari wako lakini atakuandikia kama unene unahatarisha maisha yako mfano high BP,
Naomba unisaidie kujua zinapatikana wapi ili niende huko nikaeleze tatizo langu wanisaidie
 
Kwa daktari wako lakini atakuandikia kama unene unahatarisha maisha yako mfano high BP,
Naomba unielekeze wapi zinapatikana nikaelezee tatizo langu huko watanielewa maana huwa napata pre eclampsia l wakati wa mimba
 
Habari wana jamii forum, naomba mwenyekujua hizo pills za phertamine vinapatikana wapi kwa Tanzania maana nimesikia zimepitishwa na shirika la afya duniani kuwa zinasaidia kupunguza uzito sasa nataka nizipate kwa Tanzania nitapata wapi?
Kwa ushauri tu kabla ujaanza madawa fanya vitu vifuatavyo..
Epuka kula vyakula vyenye sukari nyingi kama soda, juisi bandia, keki, biskuti nk.
Usiendelee kula iwapo unahisi umeshiba.
Badala ya kula vyakula vya wanga na mafuta, ongeza kula ulaji wa vyakula visivyo na nishati lishe nyingi kama vile mboga za majani na matunda.
kunywa maji ya kutosha, kipindi cha asubuhi kunywa angalau glasi tatu pindi tu unapoamka
kisha fanya mazoezi japo 45 ndani ya siku 4 katkia wiki
Pia unaweza kutumia food supplements mfano za 21 century inaitwa fat burner
 
Last edited:
Habari wana jamii forum, naomba mwenyekujua hizo pills za phertamine vinapatikana wapi kwa Tanzania maana nimesikia zimepitishwa na shirika la afya duniani kuwa zinasaidia kupunguza uzito sasa nataka nizipate kwa Tanzania nitapata wapi?
Nenda ukakatwe utumbo.
 
Kwa ushauri tu kabla ujaanza madawa fanya vitu vifuatavyo..
Epuka kula vyakula vyenye sukari nyingi kama soda, juisi bandia, keki, biskuti nk.
Usiendelee kula iwapo unahisi umeshiba.
Badala ya kula vyakula vya wanga na mafuta, ongeza kula ulaji wa vyakula visivyo na nishati lishe nyingi kama vile mboga za majani na matunda.
kunywa maji ya kutosha, kipindi cha asubuhi kunywa angalau glasi tatu pindi tu unapoamka
kisha fanya mazoezi japo 45 ndani ya siku 4 katkia wiki
Nikifanya hivi nastop kuongezeka tu na wala sipungui, mazoezi kazi yangu hainiruhisu kufanya mazoezi saa 12 narudi saa 3 usiku, ndo maana nataka dawa
 
kama mtu wa kutumia bia na nyama pia upunguze,kunywa spirit kama konyagi ikate Mafuta mwilini
 
Aangalia kwanza kisababishi cha uzito wako. Unaweza kua na magonjwa mengine ya kufanya uongeze uzito.
Kama ni chakula then badilisha misosi kula balanced diet na fanya mazoezi.
 
Nikifanya hivi nastop kuongezeka tu na wala sipungui, mazoezi kazi yangu hainiruhisu kufanya mazoezi saa 12 narudi saa 3 usiku, ndo maana nataka dawa
Tumia pia hizo food supplements zinaitwa fat burner. pia kacheki cholesterol level.
 
Back
Top Bottom