Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

Approx budget for 30 acres at njombe, prepared by a solar technician
 
initial cost ya solar ni kubwa sana ili upate maji ya kutosha itakugharim pesa nyingi sana.

Kuna mkulima alifunga solar za mkopo mwisho wa siku alizitoa Kwa sababu shamba ni kubwa linahitaji maji hadi usiku ambapo solar haziwez fanya kazi.

Ushauri wangu tafuta diesel engine 15hp, alternator 20 kva 3phase na submersible pump 5hp
 
0756076116
 
Hivi hawezi nunua diesel water pump moja kwa moja hadi atumie route ya generator?
Au ndo kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja !
 
Hata hiyo motor Sina ndio nataka nifunge vyote kwa pamoja na ndio nahitaji kupata maarifa kabla sijakurupuka
Tafuta mtaalamu wa mambo ya kilimo akushauri vifuatavyo.
1.lita ngapi unahitaji kwa siku, lita kwa siku ndizo zitaamua utumie pump ya HP ngapi, ambayo itakuambia unahitaji Watts ngapi kwa siku then,utatafuta mtaalamu wa solar atakuambia watts hizo ni SAwa na pannel ngapi,zipo pannel hadi watt 600 wingi ukubwa wa panel ndivyo bei huwa kubwa.
Mahitaji YAKO yatakuambia unataka pannel ngapi.
 
Kama kuna upepo wa kutosha kwann usifunge windmill ni nafuu kuzidi solar kama upepo wa kutosha
 
Kama upo karibu na makaa ya mawe au unaweza yapata KWA urahisi nayo ni nafuu zaidi kuliko sola kuzalisha umeme.
Pump ni lazima isukumwe na umeme
 
Hivi hawezi nunua diesel water pump moja kwa moja hadi atumie route ya generator?
Au ndo kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja !
Kwa kisima cha mita 100 haiwezekani, lazima awe na source ya umeme
 
Maeneo sio rafiki kwa upepo na je hilo la upepo gharama yake haizidi 20m?
 
Nahisi nimeshaeleza kule juu vizuri mtaalamu akija na kutiririka vizuri hapa atanipa mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…