Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0756076116Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani.
Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya umwagiliaji.
Sawa, ni maji kiasi gani yanatumika kumwagilia?Sawa mkuu isome vizuri post namba 6 ili hesabu zako ziwe vizuri
Hivi hawezi nunua diesel water pump moja kwa moja hadi atumie route ya generator?initial cost ya solar ni kubwa sana ili upate maji ya kutosha itakugharim pesa nyingi sana.
Kuna mkulima alifunga solar za mkopo mwisho wa siku alizitoa Kwa sababu shamba ni kubwa linahitaji maji hadi usiku ambapo solar haziwez fanya kazi.
Ushauri wangu tafuta diesel engine 15hp, alternator 20 kva 3phase na submersible pump 5hp View attachment 2558801
Tafuta mtaalamu wa mambo ya kilimo akushauri vifuatavyo.Hata hiyo motor Sina ndio nataka nifunge vyote kwa pamoja na ndio nahitaji kupata maarifa kabla sijakurupuka
Kwa kisima cha mita 100 haiwezekani, lazima awe na source ya umemeHivi hawezi nunua diesel water pump moja kwa moja hadi atumie route ya generator?
Au ndo kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja !
Upo mkoa ganiKisima
Nahisi nimeshaeleza kule juu vizuri mtaalamu akija na kutiririka vizuri hapa atanipa mwangaTafuta mtaalamu wa mambo ya kilimo akushauri vifuatavyo.
1.lita ngapi unahitaji kwa siku, lita kwa siku ndizo zitaamua utumie pump ya HP ngapi, ambayo itakuambia unahitaji Watts ngapi kwa siku then,utatafuta mtaalamu wa solar atakuambia watts hizo ni SAwa na pannel ngapi,zipo pannel hadi watt 600 wingi ukubwa wa panel ndivyo bei huwa kubwa.
Mahitaji YAKO yatakuambia unataka pannel ngapi.