gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
hellow jf memberz, wazima? Am just looking for a man who knows how to love! Any man pls?! Am 25...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changa la macho
hellow jf memberz, wazima? Am just looking for a man who knows how to love! Any man pls?! Am 25...
hellow everybody! Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuwa humu, so naombeni mnipokee,! Mimi ni msichana wa miaka 25,nimemaliza chuo kikuu mwaka jana. Tatizo nililonalo ni kwamba,nilipata boyfriend,ambaye tulipendana sana kufikia hatua ya mimi kubeba ujauzito nashkuru mungu nimejifungua salama mwez wa2, issue kubwa ni kwamba,jamaa kanisusia mtoto kisa,hajapenda jina nililompa mtoto! And so far, hatujaoana! Ila tulikua na plans hizo. Mimi nipo kwe2 dar na yeye anaishi nje ya mkoa akiendelea na mambo yake. Bynow,hatak mawasiliano yoyote na mimi,haulizi hata mtoto wake anaendeleaje! Amekua akintolea maneno ya kashfa and all that stuffs!jamani,au mimi ndiye mkosaji? And its nt that i ddnt tel him b4,nilimwambia! Lkn ni kigeugeu sana! Jamani nifanyeje?should i leave hm alone and live my own life?trully ameniharibu psychologically! Sidhani kama ntakuja kupenda tena maishani! Plz help me...
Ungeongeza na hii ungeeleweka kabisa...........................
Sio wewe kila siku unaongelea mume na mtoto kule kwa daktari wa JF?
inahusiana nini
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/121593-naombeni-ushauri-wenu-wadau.html
Are you through this problems kwanza????????
Hayo huwa ni maneno tu hata kwenye khanga yapoSidhani kama ntakuja kupenda tena maishani! Plz help me...
Mwezi wa 2 kujifungua huu mwezi wa 4...............
je umefikia wapi na baba wa mtoto?
hapo kwenye red inakuwaje?
Mtoto wa miezi mitatu muda wa kuanzisha na kujenga mahusiano unao?Nwyy kila la kheri!
Huwa tunasahau sawa lakini hii ndani ya miezi miwili tu halafu mtu una mtoto wa miezi mitatu ambaye inapaswa uwekeze akili na nguvu zako kumlea halafu leo mtu unaanza mchakato wa kupata mtu hata Katiba yenyewe mchakato wake unapelekwa spidi lakini si kama ya huyu.TF umenichekesha kweli
ndani ya miezi miwili umeshau
chokoza nyule ule asali! No, wakung'ate!
Huwa tunasahau sawa lakini hii ndani ya miezi miwili tu halafu mtu una mtoto wa miezi mitatu ambaye inapaswa uwekeze akili na nguvu zako kumlea halafu leo mtu unaanza mchakato wa kupata mtu hata Katiba yenyewe mchakato wake unapelekwa spidi lakini si kama ya huyu.