Nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa ya DOVE

Nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa ya DOVE

IMG_20220114_085925.jpg
 
Kuna duka lipo kariakoo la vipodozi nikibahatika kwenda nitawaomba namba ili uwe unawasiliana nao moja kwa moja.Sema leo kumeamka na mvua ila nikijaliwa uzima kesho nitakuunganisha nao wapo vizur sana.
 
Na wanaume tunatumia hizi products? Jana kuna mdada ni model nilimuuliza mafuta, shower gel na sabuni za kutumia Mwanaume akasema Dove.

Screenshot_20220911-194634.png
 
Upo Mkoa au Dar? S. H Amon ana maduka maeneo mengi kuanzia Mliman City, Tabata, Njia ya Sinza Makaburini ukitokea Magufuli Hostel.. etc
Ni Dar mkuu, ana maduka pia Posta au Karikoo ? Muda mwingi nakuwa busy sana kama kuna ana maduka Posta au kariakoo itakuwa rahisi kwangu kwenda.
 
Ni Dar mkuu, ana maduka pia Posta au Karikoo ? Muda mwingi nakuwa busy sana kama kuna ana maduka Posta au kariakoo itakuwa rahisi kwangu kwenda.
0737955400 hio hapo sevu na nahisi mjini Kati delivery wanafanya
 
Ni Dar mkuu, ana maduka pia Posta au Karikoo ? Muda mwingi nakuwa busy sana kama kuna ana maduka Posta au kariakoo itakuwa rahisi kwangu kwenda.
Wapo posta na kkoo pia.
 
Back
Top Bottom