Nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa ya DOVE

Nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa ya DOVE

Niko mkoan nakosa uhakika wa mtu wa kumuagiza kwan sizijui bei , weken apa picha na bei na duka/siupermarket tupate pa kuanzia na sie kuwatuma hao watakaotuwakilisha huko

Upo mkoa gani

Nina wateja wa jumla wanachukua kwangu

Mbeya
Kwanza
Arusha
Moshi

Kama upo Kati ya hapo nikuunganishe Bei nzuri wanakuwa na full packages
FF2D0DEC-C9D0-4F9F-9481-485830AC8A27.jpg

Showergel nzuri sana
 
Upo mkoa gani

Nina wateja wa jumla wanachukua kwangu

Mbeya
Kwanza
Arusha
Moshi

Kama upo Kati ya hapo nikuunganishe Bei nzuri wanakuwa na full packagesView attachment 2386966
Showergel nzuri sana
Hello...
Samahani ivi Hii sabauni ya dove au lotion yake inauwezo wa kuondoa madoa yaliosababishwa na chunusii..??
Nipo Arusha ili nifanye mpango wa kuanza na Sabani then nikiona matokeo niichukue na mafuta yake kabisa.
 
Hello...
Samahani ivi Hii sabauni ya dove au lotion yake inauwezo wa kuondoa madoa yaliosababishwa na chunusii..??
Nipo Arusha ili nifanye mpango wa kuanza na Sabani then nikiona matokeo niichukue na mafuta yake kabisa.

Hapana

Madoa huondoka Kama bidhaa ina kitu kinaitwa Niacinamide
Salicylic acid
Azelaic acid
Vitamin C

Moja wapo kati ya hizo inafaa kutatua changamoto zako
 
Hapana

Madoa huondoka Kama bidhaa ina kitu kinaitwa Niacinamide
Salicylic acid
Azelaic acid
Vitamin C

Moja wapo kati ya hizo inafaa kutatua changamoto zako
Nisaidie bas Kam hutojali sabauni na mafuta yenye izo ingredients ili nikanunue....nianze tumia mana mm ni Me na mweupe ila shavu ya kushoto n weusiweusi weng sabab ya chunusi n upande mwingne una madoa kidg tuu
 
Nisaidie bas Kam hutojali sabauni na mafuta yenye izo ingredients ili nikanunue....nianze tumia mana mm ni Me na mweupe ila shavu ya kushoto n weusiweusi weng sabab ya chunusi n upande mowing una madoa kidg tuu
@Hornet jibu hii please.
 
Ngozi ya mafuta unashauriwa kutumia mafuta ya mgando pamoja na lotion ya alovera, jaribu bidhaa za unilever, mgando aloe na lotion.
Kuna moja nmeipata kutok kwa Hornet Partia M naon kdgo Afadhal
Ila mafuta mgando nkipaka natutumka saan
 
Mkuu kabla hujapata hyo sabuni ambayo unaitaka kuondoa madoa kwanza anza na dove inaweka ngozi smooth kabisa.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nd naitumia lakn juz nmekosa ile ya tango nkachukua moja inaitwa sensitive 😑 aloo naon hii imenkataa her nirud kwa ile ya TANGO
 
Back
Top Bottom