Niko mkoan nakosa uhakika wa mtu wa kumuagiza kwan sizijui bei , weken apa picha na bei na duka/siupermarket tupate pa kuanzia na sie kuwatuma hao watakaotuwakilisha huko
Hello...Upo mkoa gani
Nina wateja wa jumla wanachukua kwangu
Mbeya
Kwanza
Arusha
Moshi
Kama upo Kati ya hapo nikuunganishe Bei nzuri wanakuwa na full packagesView attachment 2386966
Showergel nzuri sana
Hello...
Samahani ivi Hii sabauni ya dove au lotion yake inauwezo wa kuondoa madoa yaliosababishwa na chunusii..??
Nipo Arusha ili nifanye mpango wa kuanza na Sabani then nikiona matokeo niichukue na mafuta yake kabisa.
Nisaidie bas Kam hutojali sabauni na mafuta yenye izo ingredients ili nikanunue....nianze tumia mana mm ni Me na mweupe ila shavu ya kushoto n weusiweusi weng sabab ya chunusi n upande mwingne una madoa kidg tuuHapana
Madoa huondoka Kama bidhaa ina kitu kinaitwa Niacinamide
Salicylic acid
Azelaic acid
Vitamin C
Moja wapo kati ya hizo inafaa kutatua changamoto zako
Sema hiyo bar soap ya tango nliznguka sana bila mafanikio!
@Hornet jibu hii please.Nisaidie bas Kam hutojali sabauni na mafuta yenye izo ingredients ili nikanunue....nianze tumia mana mm ni Me na mweupe ila shavu ya kushoto n weusiweusi weng sabab ya chunusi n upande mowing una madoa kidg tuu
Juz nmemptia pale na yeye kamaliza nkaon nikapumzshe fuvuππ
Ngozi ya mafuta unashauriwa kutumia mafuta ya mgando pamoja na lotion ya alovera, jaribu bidhaa za unilever, mgando aloe na lotion.Hivi hapo hakuna lotion au mafuta kwa ajili ya ngoz yenye mafuta?π
Kuna moja nmeipata kutok kwa Hornet Partia M naon kdgo AfadhalNgozi ya mafuta unashauriwa kutumia mafuta ya mgando pamoja na lotion ya alovera, jaribu bidhaa za unilever, mgando aloe na lotion.
Mkuu kabla hujapata hyo sabuni ambayo unaitaka kuondoa madoa kwanza anza na dove inaweka ngozi smooth kabisa.Juz nmemptia pale na yeye kamaliza nkaon nikapumzshe fuvu[emoji2][emoji2]
Maan yey sindo wakal mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Nd naitumia lakn juz nmekosa ile ya tango nkachukua moja inaitwa sensitive π aloo naon hii imenkataa her nirud kwa ile ya TANGOMkuu kabla hujapata hyo sabuni ambayo unaitaka kuondoa madoa kwanza anza na dove inaweka ngozi smooth kabisa.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mi napendaga sabuni yake maana Kwa nyeto ni burudani Sana .....kitu inatereza kama Kwa mpalange kumepakwa futa
How much the price.Kuna shower gel yao moja ni matata Sana bafuni kunanukia tu full time
Saivi mi natumia iyo ya bar.