Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hawawezi wakakuruhusu kabisa mtanganyika kumiliki ardhi kule ila wao huku wanajilimbikizia tu.Unahitaji Kitambulisho Cha Mkazi cha Zanzibar ili uweze walau Kumiliki Ardhi Zanzibar
Mkuu kama upo njema hakuna haja ya kuwachukia. Mabinti ni wepesi kuvua hijabu na pichu watakupa code za kupata na kumiliki ardhi.Hawawezi wakakuruhusu kabisa mtanganyika kumiliki ardhi kule ila wao huku wanajilimbikizia tu.
Nawachukia sana huo ndio ukweliMkuu kama upo njema hakuna haja ya kuwachukia. Mabinti ni wepesi kuvua hijabu na pichu watakupa code za kupata na kumiliki ardhi.
Mademu wao Ndio usahau kabisa NduguUnahitaji Kitambulisho Cha Mkazi cha Zanzibar ili uweze walau Kumiliki Ardhi Zanzibar
Ccm wamekufukuza wewe bila shaka, nyie kina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable huyu jamaa mmemfukuza lini?Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.
Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.
Sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari, siwapendi mno wazanzibari hivyo watuachie tanganyika yetu .
Zanzibari wao hata siku moja huwezi kukuta mtanganyika akawa rais kule au kupewa cheo chochote kikubwa kule hivyo na sisi iwe hivyo hivyo.
Hii miaka minne ya ngekewa aliyoipata mzanzibari inamtosha atuachie tanganyika yetu sasa.
No reform no election
Watanganyika tuamke tuseme sasa inatosha.
Miaka minne tanganyika haijafanyiwa chochote cha maana ila zanzibari maendeleo makubwa mno ndani ya hii hii miaka minne.