Nitapiga kura kuchagua chama pinzani sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari.

Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.

Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.

Sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari, siwapendi mno wazanzibari hivyo watuachie tanganyika yetu .

Zanzibari wao hata siku moja huwezi kukuta mtanganyika akawa rais kule au kupewa cheo chochote kikubwa kule hivyo na sisi iwe hivyo hivyo.

Hii miaka minne ya ngekewa aliyoipata mzanzibari inamtosha atuachie tanganyika yetu sasa.

No reform no election

Watanganyika tuamke tuseme sasa inatosha.

Miaka minne tanganyika haijafanyiwa chochote cha maana ila zanzibari maendeleo makubwa mno ndani ya hii hii miaka minne.
Baadhi ya Watanganyika wana roho mbaya na wachoyo, halafu ni wajinga na washamba.
 
Kama mpaka wewe umeandika hivi, basi ukombozi wa Tanganyika unakaribia. Asante sana Kamabda Tundu Lissu kwa kuwaamsha hawa Watanganyika.

Nashukuru kwa upande wangu nilikuwa macho kitambo sana. Na hata sasa ninaunga mkono NRNE yako. ✌️
 
Ccm wamekufukuza wewe bila shaka, nyie kina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable huyu jamaa mmemfukuza lini?
Gentleman,
ni rahisi tu,
ukishindwa kutekeleza ahadi ulizowaahidi wananchi kama gwajima pale kawe, utajikuta tu huna options zaid ya kutafuta pa kutokea kwa kuanzisha drama na kiki na hatimae kujifukuzisha mwenyewe kwenye chama kukwepa hasira za wananchi dhidi ya uongo wako kuelekea uchaguzi:pulpTRAVOLTA:
 
Hawawezi wakakuruhusu kabisa mtanganyika kumiliki ardhi kule ila wao huku wanajilimbikizia tu.
Mkuu inabidi kwenye Katiba kuwe na Vifungu vinavyo mkataza Mzanzibar akiwa Raisi kuvifanya kwenye Mali ambazo siyo za Muungani, Mfano huyu Mama ni Mzanzibar ilitakiwa Mali zote za Tanganyika akaenazo mbali yani zisi muhusu kabisa mfano Aridhi, Bahar na Bandari, mbuga za Wanyama, Madini na mafuta na asifanye uteuzi kwenye nafasi za Tanganyika ila afanye kwa nafasi za Muungano tu, na Wazanzibar wasimiliki Aridhi ya Tanganyika, Waziri mkuu anatakiwa lazima awe Mtanganyika wa kuzaliwa Baba na Mama na Mababu zake wawe waTanganyika. Na waziri mkuu ndiyo awe na Nguvu ya kuchagua au kutea viongozi na awe na nguvu ya kuingia mikataba yote bila kuingiliwa na Raisi, yani katiba mpya inatakiwa imzui Mzanzibar kujiusisha au kushiriki kwenye Mali zetu sisi Watanganyika. Tukiendelea na utaratibu huu wa Mzanzibar kuja kuchukua Mali zetu na kuzipelela Zanzibar kufanya maendeleo na huku Tanganyika mambo yanaenda hovyo tu, waiwezekani upate URaisi ndiyo unaanza kujenga Maghorafa kijijini kwenu na kuanza kujenga viwanja vya mpira kijijin kwenu kwenye wakazi 500.
 
Baadhi ya Watanganyika wana roho mbaya na wachoyo, halafu ni wajinga na washamba.
Mkuu Wazanzibar ndiyo wachoyo unaweza kuishi Nyumba moja kwenye familia ya Mzanzibar wakapika vyakula vya sikuku na wasikukaribishe na usijue wamekula sangapi, Tofauti na Watanganyika waislam wa Tanganyika nitofauti na Muislam Mzanzibar.
 
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.

Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.

Sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari, siwapendi mno wazanzibari hivyo watuachie tanganyika yetu .

Zanzibari wao hata siku moja huwezi kukuta mtanganyika akawa rais kule au kupewa cheo chochote kikubwa kule hivyo na sisi iwe hivyo hivyo.

Hii miaka minne ya ngekewa aliyoipata mzanzibari inamtosha atuachie tanganyika yetu sasa.

No reform no election

Watanganyika tuamke tuseme sasa inatosha.

Miaka minne tanganyika haijafanyiwa chochote cha maana ila zanzibari maendeleo makubwa mno ndani ya hii hii miaka minne.
Kama unaijali kura yako zingatia nukuu ya Boganza 👇👇👇
 
Attachments

  • 24F5A37B-2A5D-4F1E-9AEB-0BAACCCCFF20.jpeg
    24F5A37B-2A5D-4F1E-9AEB-0BAACCCCFF20.jpeg
    89 KB · Views: 14
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.

Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.

Sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari, siwapendi mno wazanzibari hivyo watuachie tanganyika yetu .

Zanzibari wao hata siku moja huwezi kukuta mtanganyika akawa rais kule au kupewa cheo chochote kikubwa kule hivyo na sisi iwe hivyo hivyo.

Hii miaka minne ya ngekewa aliyoipata mzanzibari inamtosha atuachie tanganyika yetu sasa.

No reform no election

Watanganyika tuamke tuseme sasa inatosha.

Miaka minne tanganyika haijafanyiwa chochote cha maana ila zanzibari maendeleo makubwa mno ndani ya hii hii miaka minne.
Sio cheo kikubwa, hata mwenyekiti wa mtaa hupewi!
 
Acha ubaguzi
Chai

No reforms no Election ni nzuri lakini sio kwa sababu za kibaguzi
 
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.

Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.

Sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari, siwapendi mno wazanzibari hivyo watuachie tanganyika yetu .

Zanzibari wao hata siku moja huwezi kukuta mtanganyika akawa rais kule au kupewa cheo chochote kikubwa kule hivyo na sisi iwe hivyo hivyo.

Hii miaka minne ya ngekewa aliyoipata mzanzibari inamtosha atuachie tanganyika yetu sasa.

No reform no election

Watanganyika tuamke tuseme sasa inatosha.

Miaka minne tanganyika haijafanyiwa chochote cha maana ila zanzibari maendeleo makubwa mno ndani ya hii hii miaka minne.

View: https://youtu.be/q4rjyaQ_TCc?si=0t2uFsHZl4wDdlIj
 
Safiiiii
 
Mkuu unapigaje kura bila reforms si kura itaibwa
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mkuu Wazanzibar ndiyo wachoyo unaweza kuishi Nyumba moja kwenye familia ya Mzanzibar wakapika vyakula vya sikuku na wasikukaribishe na usijue wamekula sangapi, Tofauti na Watanganyika waislam wa Tanganyika nitofauti na Muislam Mzanzibar.
Kwenye utoaji hakuna wa kuwafikia wazanzibari hapo umewaonea
 
Moja ya kosa kubwa la baba wa taifa, ni kuunganisha hao watu na watanganyika.
 
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.

Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.

Sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari, siwapendi mno wazanzibari hivyo watuachie tanganyika yetu .

Zanzibari wao hata siku moja huwezi kukuta mtanganyika akawa rais kule au kupewa cheo chochote kikubwa kule hivyo na sisi iwe hivyo hivyo.

Hii miaka minne ya ngekewa aliyoipata mzanzibari inamtosha atuachie tanganyika yetu sasa.

No reform no election

Watanganyika tuamke tuseme sasa inatosha.

Miaka minne tanganyika haijafanyiwa chochote cha maana ila zanzibari maendeleo makubwa mno ndani ya hii hii miaka minne.
Pole.
 
Back
Top Bottom